Chama cha Wamiliki wa Mabasi chatangaza mgomo wa usafirishaji abiria na mizigo

mie sijaelewa, basi likiwa halina dust bin faini yake ni laki mbili na nusu? halafu dereva atakayesababisha ajali faini yake ni elfu 30?
Sheria hizi ni mbili tofauti, makosa yanayohusu uendershaji faini zake ziko chini ya ROAD TRAFFIC ACT, ambapo faini kwa kosa la papo kwa papo ni 30,000. Makosa ya leseni ya usafirshaji ni kwa mujibu wa TRANSPORT LICENSING ACT
 
Kanuni inatafsiri kabisa mwanafunzi ni nani.
“pupil” means a scholar of kindergarten, primary or secondary school;
“students” means scholars of post-secondary education;
hoja yangu iko pale pale, kwa kanuni hizi basi likitoka dar likifika dodoma likakutwa dust bin limejaa hupa za dasani mmiliki unakamatwa unapelekwa dodoma kulipa 250,000/=
 
Sheria hizi ni mbili tofauti, makosa yanayohusu uendershaji faini zake ziko chini ya ROAD TRAFFIC ACT, ambapo faini kwa kosa la papo kwa papo ni 30,000. Makosa ya leseni ya usafirshaji ni kwa mujibu wa TRANSPORT LICENSING ACT
hiyo kanuni ya 21 (o) ukikutwa hauna kapu la uchafu unalipa laki mbili na nusu? hiyo ni sawa?
 
hiyo kanuni ya 21 (o) ukikutwa hauna kapu la uchafu unalipa laki mbili na nusu? hiyo ni sawa?
Of course, takataka zisipotupwa haliwezi kuwa kosa la tajiri moja kwa moja, lakini hizi provisions zimetoka kwenye draft ambayo SUMATRA waliitoa tarehe 2 march for discussion, ambapo TABOA pia walialikwa. sasa sijaona final draft kama bado imeretain hiki
 
Ila ni sahihi mmiliki kuwajibika kununua vifaa vya uchafu kwenye gari lake
fikiria barabara ya mwanza kigoma unasema bus liwe na dust bin huku ni kukosa akili, kwanza litakaaje barabara ilivyo mbovu, barabara ya geita kahama hilo dust bin kweli litakuwa na hali gani? hizo kanuni zinawabana wamiliki sasa mmiliki ana gari zaidi ya hamsini atafatiliaje kuhakikisha uchafu unamwagwa kwa kila gari kwa wakati?
 
Huwa nashangaa sana kupeleka muswaada (bill) Bila kushirikisha Wadau sijui lengo ni nini? Madaraka hutoka kwa watu (Democracy ) kinyume Chake ni Udicteta.
 
So wagomaji hao, wangegoma kimyakimya ila hii ya kutangaza hawawezi kamwe na mkuu hajaribiwi.
 
Mnamaana dereva wa serekali akiharibu huko barabarani akija ofisini boss anafungwa ???
Hii sheria itakuwa nzuri sana hii wapitishe haraka. Na kaka mkuu aisaini
 
Sema kwa hili SUMATRA wako sahii kabisa safi sana maana leseni anapewa mmiliki wa gari sio dereva so wambane huyo huyo mmliki wake coz kuna makosa unaona kabisa dereva hastahili kabisa
 
~~>>>Huyu Enea Mrutu ni diwani Kata ya Shighatini Wilaya ya Mwanga, Mkoa wa Kilimanjaro kupitia CCM...

~~~>>>Huyu ni kada mtiifu ndani ya CCM.... Aendelee kuisoma namba..
Haisomi peke yake hii inamgusa kila mtanzania......... kwa mfano mimi sitoweza kusafiri...... maana hata bajaji imetajwa.... lori la mkaa limo, nk... kama kweli kwanza ni sheria ya hovyo kuwahi kutokea
 
Nakumbuka tulipandishiwa bei ya mafuta ya taa hivi hivi na bei ya dizeli na petroli ikashuka hivi hivi kwa kisingizio cha uchakachuzi........ pumbavu sana!
 
fikiria barabara ya mwanza kigoma unasema bus liwe na dust bin huku ni kukosa akili, kwanza litakaaje barabara ilivyo mbovu, barabara ya geita kahama hilo dust bin kweli litakuwa na hali gani? hizo kanuni zinawabana wamiliki sasa mmiliki ana gari zaidi ya hamsini atafatiliaje kuhakikisha uchafu unamwagwa kwa kila gari kwa wakati?
Sasa mkuu c ndio biashara.....? Swala la kufuatilia n jukum la mmilik na waajil wake...inakera sana Magar unakuta hata dust bin hamna....Tena nafkr mabac mabovu na malor yazuiliwe kabsa...just imagine lor linaanza safari kufka kimara tayar limeloga... Aisee sheria ziwe Kal sana...kuish kwa mazoea kuondolewe kabsa...
 
Wabunge ipitisheni hiyo sheria kwa wingi. Biashara ya Mabasi & Malori imezidi uswahili. Bora tubaki na kampuni chache zenye huduma nzuri kuliko ule uppuź wa pale uliojaa UBUNGO STENDI.
 
Wabunge ipitisheni hiyo sheria kwa wingi. Biashara ya Mabasi & Malori imezidi uswahili. Bora tubaki na kampuni chache zenye huduma nzuri kuliko ule uppuź wa pale uliojaa UBUNGO STENDI.
Swal n je wabunge watakubal...? Maana ndo wafanya biashara wakuu wa Hayo magar...am ndugu zao kama c hivyo baac na wahisan wao kwenye kampen....ifke wakat tuseme enough is enough....jpl njema
 
Back
Top Bottom