Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 23,448
- 70,137
Yalaaa ngoja kesho nihamie gero kwa mchizi wangu karibu na ofisini
teh teh teh ukiamka salama mkuu bila kugongewa mlango na vijana Wa Mangu basi usiache kwenda kanisani kesho.Mi naona iwe hivi na dereva wa mbunge, mkuu wa idara yeyote akipata ajali mkuu afungwe
~~>>>Huyu Enea Mrutu ni diwani Kata ya Shighatini Wilaya ya Mwanga, Mkoa wa Kilimanjaro kupitia CCM...
~~~>>>Huyu ni kada mtiifu ndani ya CCM.... Aendelee kuisoma namba..
Hawa TABOA mie bado sijawaelewa kwa kweli. Huu mgomo wanaotangaza kushinikiza bunge lisipitishe sheria inayowabana ni sheria gani hiyo?? Mbona ukiangalia hata website ya bunge huoni muswada wa namna hiyo? Au wanachanganya madawa hawa?Chama cha wamiliki wa Mabasi chatangaza mgomo wa usafirishaji abiria na mizigo.
Chama cha wamiliki wa mabasi -TABOA,kwa kushirikiana na wamiliki wa malori na chama cha wasafirishaji mkoa wa Dar es Salaam kimetangaza mgomo wa usafirishaji abiria na mizigo nchinzima kuanzia siku ya jumatatu ili kushinikiza serikali kutopitisha sheria ya usafirishaji inayotarajiwa kusomwa mara ya tatu na kupitishwa siku ya jumanne wiki ijayo.
Akitoa maazimio hayo yaliyofikiwa katika mkutao mkuu maalumu wa chama cha wamiliki wa Mabasi,Malori,Daladala na Baji, katibu mkuu wa TABOA Bwana. Eneo Mrutu amesema sheria inaloyolenga kupitishwa haikuwashirikisha wadau na haitenganishi makosa ya dereva na mmiliki, hali inayosababisha kosa lililofanywa na dereva linasababisha mmiliki kufungwa jela.
Aidha amewaomba wabunge bila kujali itiokadi za vyama vyao kutopisha sheria hiyo mpaka ifanyiwe marekebisho kwa kuwa inalenga kuharibu sekta ya usafirishaji nchini.
Chanzo: ITV
nakuunga mkono Sugu dereva wake aliua mtoto Sugu akamatwe afungweMi naona iwe hivi na dereva wa mbunge, mkuu wa idara yeyote akipata ajali mkuu afungwe
Mbona tunatishana tena mkuu nimetoa nyongeza kwa sheria tajwateh teh teh ukiamka salama mkuu bila kugongewa mlango na vijana Wa Mangu basi usiache kwenda kanisani kesho.
Sio Sugu tu hata ule msafara wa Raisnakuunga mkono Sugu dereva wake aliua mtoto Sugu akamatwe afungwe
Kama wakiupitisha muswada huo kuwa sheria, kwa nini na yeye asiwajibike?nakuunga mkono Sugu dereva wake aliua mtoto Sugu akamatwe afungwe
Cha ajabu hawahawa wabunge ndio walpitisha sheria ya HESLB 15% halafu wengi wao ni wanufaika wa bodi na ni wahanga wa 15%,so sioni ajabu wakipitisha hiyo sheria....shame on them...Kinachoshangaza wabunge wetu hawa hawa (ndiyoooooo) watapitisha hii sheria. Jamaa yangu ni mbunge na ana magari ya kusafirisha mizigo na abiria lkn nae atashiriki kupitisha sheria hiyo
Ok, basi hapo Rais atalazimika kuwajibika kwa makosa ya dereva wa ikuluSio Sugu tu hata ule msafara wa Rais