Chama cha wamiliki wa daladala, mpeni tuzo Nabii Mwamposya kwa kuwasaidia kuingizia mapato makubwa kwenye biashara zenu

Kwa kweli kama promo unajua haya sasa nenda kachukue buku 10 yako kwa huyo bulldozer kesho uhamie mitandao mingine.
 
BIBLIA KATIKA 2 Nyakati 20:20 inasema ; mwaminini Bwana, Mungu wenu, ndivyo mtakavyothibitika; waaminini manabii wake, ndivyo mtakavyofanikiwa.

KUMWAMINI mungu kunakupa kuthibitika imani yako mbele zake

kufanikiwa unatakiwa umwamini nabii

.WEWE kama humwamini nabii hata ungekanyaga na kuoga na kunywa mafuta ya upako hufanikiwi kabisaa usitarajie hali yako kubadilika.

WAAMINI MANABII tumefanikiwa .Wachovu wengi makanisani ni wale wasioamini manabii .Wachungaji wao wamechoka na makanisa yao yamechoka na waumini choka mbaya

Hata wewe kama utaendelea kutoamini manabii hali yako haitabadilika kaoge maji ya upako mafuta au maziwa ya upako kula hata keki lote la upako peke yako hufanikiwi kama huamini nabii
Hebu niambie bill gate anamuamini nabii nani

Kabla Tanzania haijapata uhuru kulikuwa na nabii nani? Inamaana wote waliokufa kabla ya manabii (feki) wataenda motoni?
 
Wewe huna imani kuna watu wanafanikiwa pale wengi sana mbaka wasanii wakubwa wengine waislam wanasali pale majina kapuni so ni bora ukae kimya kuliko kukebehi haipendezi

Unawafahamu wewe mwenyewe kwa macho yako mawili watu kumi hao wenye imani ambao matatizo yao yameisha kupitia huko kwenye mafuta..
 
BIBLIA KATIKA 2 Nyakati 20:20 inasema ; mwaminini Bwana, Mungu wenu, ndivyo mtakavyothibitika; waaminini manabii wake, ndivyo mtakavyofanikiwa.

KUMWAMINI mungu kunakupa kuthibitika imani yako mbele zake

kufanikiwa unatakiwa umwamini nabii

.WEWE kama humwamini nabii hata ungekanyaga na kuoga na kunywa mafuta ya upako hufanikiwi kabisaa usitarajie hali yako kubadilika.

WAAMINI MANABII tumefanikiwa .Wachovu wengi makanisani ni wale wasioamini manabii .Wachungaji wao wamechoka na makanisa yao yamechoka na waumini choka mbaya

Hata wewe kama utaendelea kutoamini manabii hali yako haitabadilika kaoge maji ya upako mafuta au maziwa ya upako kula hata keki lote la upako peke yako hufanikiwi kama huamini nabii
Hebu niambie bill gate anamuamini nabii nani

Kabla Tanzania haijapata uhuru kulikuwa na nabii nani? Inamaana wote waliokufa kabla ya manabii (feki) wataenda motoni?
 
Kakutapeli Nini?
Ukimwita mtu tapeli lazima awe amemtaorli yule anaye mwita? Sema kamtapeli nani na kwa namna gani..., mfano kuwaaminisha watu kwamba wakanyage mafuta sijui ili wapokee miujiza halafu baadae una himiza watu watoe fungu la kumi kwa ajili ya Mungu anatakayewatendea miujiza, ni nini kama si utapeli? Ana tofauti gani na mganga wa kienyeji anaembo kuku kwa ajili ya kafara za mizimu halafu anaenda kumla supu yeye mwenyewe?
 
HII THREAD NIMEELEWA MAENEO MAWILI TU...KIKOMBE CHA BABU NA KIKOMBE CHA MWAMPOSA.....KWENGINE KWOTE BINAFSI NAONA NI NONSENSE
 
Ahsante kwa taarifa,wengine taarifa zenu huwa zina manufaa sana kwetu,taarifa yako itanisaidia sana kwenye mambo fulani
 
Sijasoma yote.
Ushauri wangu ni kuwa huyo baba aache michepuko na kurudi kwa mkewe kwani analiwa na mpangaji wake mpaka tigo anatoa..
 
Back
Top Bottom