Chama cha Walimu chapinga Walimu wa Sekondari kufundisha Shule za Msingi

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,658
55,485
Chama cha Walimu (CWT) imepinga walimu wa sekondari kufundisha shule za msingi sababu hawakufundishwa saikolojia ya kufundisha shule hizo.
5f23c14bf9674a77f3686ec295838ef2.jpg

========

CWT wapinga walimu sekondari kufundisha msingi

WALIMU wa sekondari hawana mbinu za ufundishaji wa shule za msingi, hawakufundishwa saikolojia ya kufundisha shule za msingi, Raia Mwema imeambiwa.

Pia imeelezwa kwamba mbinu za kuwaandaa walimu hutofautiana kutegemea ufundishaji wa shule za chekechea, msingi ama sekondari hivyo ni makosa kuchukua walimu wa sekondari kufundisha shule za msingi.

Maamuzi ya Serikali ya kuhamisha baadhi walimu wa sekondari kwenda kufundisha shule za msingi ili kukabiliana na upungufu yamepigwa na Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kwa madai kuwa kwa mujibu wa sheria Serikali ilipaswa kufanya majadiliano na chama hicho.

Wiki iliyopita, Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi Elimu ), Benard Makali aliiambia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) juu ya mpango wa Serikali wa kuwahamishia walimu wa sekondari wa masomo ya sanaa kwenda kufundisha shule za msingi.

Kwa mujibu wa Naibu Katibu Mkuu huyo, shule za msingi nchini zina upungufu wa walimu 47,151 wakati katika shule za sekondari kuna ziada ya walimu wa sanaa 7,463.

Hata hivyo, Naibu Katibu Mkuu wa CWT, Ezekiah Oluoch ameliambia Raia Mwema ya kuwa walimu wa sekondari ni wachache kuliko serikali inavyosema na kwamba ni uamuzi wa makosa uliochukuliwa.

Chanzo: Raia Mwema
 
Hao chama cha walimu kama wanapinga, wawalipe wao mshahara... Kiwango cha taaluma kwa sasa kimepanda sana nchini. Walimu ambao walibweteka bila kujihangaisha kwa kuongeza elimu, automatically wanakuwa phased out... Hawa walimu wenye elimu duni ndio wanaochangia watoto wetu kupata division zero... Ili kiwango cha ufaulu kiongezeke hao walimu inabidi washushwe ili serikali iajiri waalimu wenye kiwango cha juu cha elimu na kuweza kumudu kufundisha na kupunguza zero, four na hata div three.
 
chama cha walimu Tanzania,Ni jipu.hata wao wanatakiwa warudishwe darasani kusaidia kufundisha na kupunguza upungufu WA walimu uliopo.wamekuwa wakila pesa za walimu Tu kila mwaka,chama hiki ninaiomba serikali ikifute na kama Ni kuanzishwa basi kianzishwe kwa mfumo mpya na sura mpya ambayo mwalimu atakifaidi chama.kuna bank imeanzishwa ya walimu sijui imefikia wapi.pili TANAOMBA CAG atussidie kukagua miradi,majengo na fedha za chama cha walimu Tanzania
 
Chama cha Walimu (CWT) imepinga walimu wa sekondari kufundisha shule za msingi sababu hawakufundishwa saikolojia ya kufundisha shule hizo.
5f23c14bf9674a77f3686ec295838ef2.jpg

========

CWT wapinga walimu sekondari kufundisha msingi

WALIMU wa sekondari hawana mbinu za ufundishaji wa shule za msingi, hawakufundishwa saikolojia ya kufundisha shule za msingi, Raia Mwema imeambiwa.

Pia imeelezwa kwamba mbinu za kuwaandaa walimu hutofautiana kutegemea ufundishaji wa shule za chekechea, msingi ama sekondari hivyo ni makosa kuchukua walimu wa sekondari kufundisha shule za msingi.

Maamuzi ya Serikali ya kuhamisha baadhi walimu wa sekondari kwenda kufundisha shule za msingi ili kukabiliana na upungufu yamepigwa na Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kwa madai kuwa kwa mujibu wa sheria Serikali ilipaswa kufanya majadiliano na chama hicho.

Wiki iliyopita, Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi Elimu ), Benard Makali aliiambia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) juu ya mpango wa Serikali wa kuwahamishia walimu wa sekondari wa masomo ya sanaa kwenda kufundisha shule za msingi.

Kwa mujibu wa Naibu Katibu Mkuu huyo, shule za msingi nchini zina upungufu wa walimu 47,151 wakati katika shule za sekondari kuna ziada ya walimu wa sanaa 7,463.

Hata hivyo, Naibu Katibu Mkuu wa CWT, Ezekiah Oluoch ameliambia Raia Mwema ya kuwa walimu wa sekondari ni wachache kuliko serikali inavyosema na kwamba ni uamuzi wa makosa uliochukuliwa.

Chanzo: Raia Mwema
cwt Ni chama cha kuwanyonya walimu.kifutwe na hakina msaada kwa mwalimu wala serikali.ni chama cha viongozi WA walimu,kila fedha za walimu CAG atusaidie kukagua fedha,miradi na majebgo ya walimu,chama hiki Ni jipu.pia walimu wapige kura kukikubali au kukikataa kwani sio chama cha hiari kama vilivyo vyama vingine
 
Chama cha Walimu (CWT) imepinga walimu wa sekondari kufundisha shule za msingi sababu hawakufundishwa saikolojia ya kufundisha shule hizo.
5f23c14bf9674a77f3686ec295838ef2.jpg

========

CWT wapinga walimu sekondari kufundisha msingi

WALIMU wa sekondari hawana mbinu za ufundishaji wa shule za msingi, hawakufundishwa saikolojia ya kufundisha shule za msingi, Raia Mwema imeambiwa.

Pia imeelezwa kwamba mbinu za kuwaandaa walimu hutofautiana kutegemea ufundishaji wa shule za chekechea, msingi ama sekondari hivyo ni makosa kuchukua walimu wa sekondari kufundisha shule za msingi.

Maamuzi ya Serikali ya kuhamisha baadhi walimu wa sekondari kwenda kufundisha shule za msingi ili kukabiliana na upungufu yamepigwa na Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kwa madai kuwa kwa mujibu wa sheria Serikali ilipaswa kufanya majadiliano na chama hicho.

Wiki iliyopita, Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi Elimu ), Benard Makali aliiambia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) juu ya mpango wa Serikali wa kuwahamishia walimu wa sekondari wa masomo ya sanaa kwenda kufundisha shule za msingi.

Kwa mujibu wa Naibu Katibu Mkuu huyo, shule za msingi nchini zina upungufu wa walimu 47,151 wakati katika shule za sekondari kuna ziada ya walimu wa sanaa 7,463.

Hata hivyo, Naibu Katibu Mkuu wa CWT, Ezekiah Oluoch ameliambia Raia Mwema ya kuwa walimu wa sekondari ni wachache kuliko serikali inavyosema na kwamba ni uamuzi wa makosa uliochukuliwa.

Chanzo: Raia Mwema
CWT NI MOJA HAKUNA CWT YA SEKONDARI WALA YA PRIMARY
KUFUNDISHA MBONA MIMI MWALIMU WA SEKONDARI NAMFUNDISHA MWANAGU WA ACADEMY STD ONE

MBONA ATA KIKWETE RAISI KAOMBA KUFUNDISHA , WAKUU WA WILAYA WANAFUNDISHA WAKIUNGA MKONO UPUNGUFU WA WALIMU.
ISSUE LABDA MASLAHI YAO YAKIGUSWA.
DSC_0442.JPG
images
 
Saikolojia ya ufundishaji ni ile ile inachotofautisha ni miongozo ya ufundishaji ambayo nayo pia kuna vitabu vyake. Itashangaza sana Mwalimu anayeweza kuwamudu wanafunzi wa Sekondari ashindwe kuwamudu wa primary.
 
Hao chama cha walimu kama wanapinga, wawalipe wao mshahara... Kiwango cha taaluma kwa sasa kimepanda sana nchini. Walimu ambao walibweteka bila kujihangaisha kwa kuongeza elimu, automatically wanakuwa phased out... Hawa walimu wenye elimu duni ndio wanaochangia watoto wetu kupata division zero... Ili kiwango cha ufaulu kiongezeke hao walimu inabidi washushwe ili serikali iajiri waalimu wenye kiwango cha juu cha elimu na kuweza kumudu kufundisha na kupunguza zero, four na hata div three.
kwenye mchango wako naona neno "hawa waalimu wenye elimu duni" hivi alie muajiri mtu mwenye elimu duni na huyo duni nani ni duni?unadhani ni kwa nini wenye divsion 1 wengi wao hawsomi ualimu hapa tanzania?Singapole wanaosoma ualimu ni wenye ufaulu mkubwa tu na ndo highly paid.hapa kwetu ni kinyume chake.
 
Back
Top Bottom