Chama cha walevi kiliishia wapi?

Wajad

JF-Expert Member
Jul 20, 2012
1,321
604
Baada ya serikali kujiendesha kwa kubebwa na walevi kwa muda mrefu kwa kuwapandishia bei kila mwaka, nakumbuka baada ya bajeti ya mwaka huu kutangazwa kulijitokeza viongozi wa chama cha walevi na wakaahidi kutetea haki za walevi. Naomba kuuliza, hiki chama kipo kweli? Wale viongozi mbona hawajajitokeza tena kuleta ripoti ya kazi yao? Au wameulimbokiwa?
 
Chama kitaanza rasmi kabla ya budget ya 2013-2014 kwani tuna mpango wa kugoma kunywa kama wataendeleza mtindo wao wa kupandisha bei ya kilauri. UMEINYAKA Wajad?
 
Last edited by a moderator:
Ukiona mtu ameacha kudai anacho amini ni haki yake basi ni ushahidi tosha ameridhika au amepata haki yake!

Back
Top Bottom