Chama cha walemavu Dar chaiomba Serikali isiwakamate Ombaomba

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,399
Chama cha Walemavu mkoa wa Dar es salaam kimeiomba Serikali kusitisha zoezi la kuwakamata ombaomba ambao ni wenye ulemavu ndani ya mkoa wa dar es salaam badala yake serikali itatue changamoto zinazowakabili kwa kuwawezesha mitaji ya biashara na kwa wale wenye elimu wapatiwe kazi kuendana na sifa zao.
 
Hayo yamesemwa na nani. Ila ni mawazo mazuri yakifanyiwa kazi
 
Back
Top Bottom