mr mkiki
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 5,583
- 11,659
Leo imesimamiwa propaganda ya MBOWE kula fedha za chama na ruzuku. Lakini CAG baada ya ukaguzi ametoa hati safi ya ukaguzi. TAKUKURU wanajitokeza!
Pia
Mimi naiheshimu Chadema sababu imetoa nafasi kwa watoto ambao hawana backgroud ya siasa na madaraka kutoka kwenye familia duni kupata ubunge na udiwani.
Zamani ilibidi uwe CCM, u-lick asses au uwe mtoto au ndugu wa viongozi. Watu wanasahau hii phenomena.
Hasa vijana, hata kwa vyama vya upinzani waliokuwa wanapata hivyo viti vimoja vimoja ni wazee flani, tena wenye mkwanja.
Mr mkiki.