Chama cha Wachaga, Chama cha Wakristo na Chama cha kigaidi; hizi zote ni propaganda za CCM dhidi ya CHADEMA nyakati tofauti

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,583
11,659
Leo imesimamiwa propaganda ya MBOWE kula fedha za chama na ruzuku. Lakini CAG baada ya ukaguzi ametoa hati safi ya ukaguzi. TAKUKURU wanajitokeza!

Pia

Mimi naiheshimu Chadema sababu imetoa nafasi kwa watoto ambao hawana backgroud ya siasa na madaraka kutoka kwenye familia duni kupata ubunge na udiwani.

Zamani ilibidi uwe CCM, u-lick asses au uwe mtoto au ndugu wa viongozi. Watu wanasahau hii phenomena.

Hasa vijana, hata kwa vyama vya upinzani waliokuwa wanapata hivyo viti vimoja vimoja ni wazee flani, tena wenye mkwanja.

Mr mkiki.
 
Chadema imeshakufa itauliwa mara ngapi ,watanzania wamewashtukia hawa matapeli wa siasa kama unabisha waulize wabunge wa chadema bungeni
 
CDM imetoa msaada mkubwa sana kwa siasa yetu hapa bila kujali kuna mapungufu gani ndani ya chama. Nasema wanakosea sana wanapoamua kuhama chama na kukisema chama vibaya. Nafikiri waweke akiba ya mameno maana awamu hii itapita ili wasije kujutia baadae.
 
Mbowe rudisha hela za chama unawapa tabu sana kutuma hawa watoto kukutetea mitandaoni. Sijui kama unawalipa ila unavyopenda pesa sidhani, sana sana wanaambulia majina tu 'kamanda'.
 
Chadema imeshakufa itauliwa mara ngapi ,watanzania wamewashtukia hawa matapeli wa siasa kama unabisha waulize wabunge wa chadema bungeni
Kichwa chako ni mfuko wa kubebea meno tu.
 
Leo imesimamiwa propaganda ya MBOWE kula fedha za chama na ruzuku..

Lakini CAG baada ya ukaguzi ametoa hati safi ya ukaguzi.

TAKUKURU wanajitokeza!

Pia

Mimi naiheshimu CDM sababu imetoa nafasi kwa watoto ambao hawana backgroud ya siasa na madaraka kutoka kwenye familia duni kupata ubunge na udiwani.

Zamani ilibidi uwe CCM, ulick asses au uwe mtoto au ndugu wa viongozi.

Watu wanasahau hii phenomena.

Hasa vijana, hata kwa vyama vya upinzani waliokuwa wanapata hivyo viti vimoja vimoja ni wazee flani, tena wenye mkwanja.

Mr mkiki.
Hilo la ugaidi waliwasingizia ila la Udini na Ukabila halihitaji tochi kuliona!
 
Mbowe rudisha hela za chama unawapa tabu sana kutuma hawa watoto kukutetea mitandaoni. Sijui kama unawalipa ila unavyopenda pesa sidhani, sana sana wanaambulia majina tu 'kamanda'.
Malizia na hii pia
IMG_20191001_231101.jpeg
 
Kama huyu lijualikali alikuwa hana chochote at extent hata kula ilikuwa ni speculation hatukujali hali yake tukambeba Leo hii amekuwa na uhakika wa kupata ugali anakufuru waliombeba
 
Chadema imeshakufa itauliwa mara ngapi ,watanzania wamewashtukia hawa matapeli wa siasa kama unabisha waulize wabunge wa Chadema bungeni.
Ccm imetutapeli na kutudanganya tangu Uhuru na bado hamridhiki! Nyie kutwa na Chadema tu, ikifa si ndio furaha yenu? Mnawashwa na nini?
 
Chadema imeshakufa itauliwa mara ngapi ,watanzania wamewashtukia hawa matapeli wa siasa kama unabisha waulize wabunge wa Chadema bungeni.
Kufa kwa chadema.

Ili hoja yako iwe ya kweli kwanini mnatumia nguvu kubwa yakutakakuiua chadema badala ya hoja mbadala.

Ccm haina na haitakuwa na uwezo wa kushindana na kama unao weka tume huru kila kitu kiwe wazi tujue kifo chá chadema.
 
Mbowe rudisha hela za chama unawapa tabu sana kutuma hawa watoto kukutetea mitandaoni. Sijui kama unawalipa ila unavyopenda pesa sidhani, sana sana wanaambulia majina tu 'kamanda'.
CAG wenu hajathibitisha hilo.

Panya wa ccm wacheni propaganda za kike huko tumieni hoja badala ya vioja.
 
Back
Top Bottom