Chama cha Wachaga, Chama cha Wakristo na Chama cha kigaidi; hizi zote ni propaganda za CCM dhidi ya CHADEMA nyakati tofauti

Ukiondoa CCM,hivi vyama vingine huwa sijui hasa vilianzishwa kwa malengo gani.Kuna vyama tangu vianzishwe wenyeviti ni walewale au wamedumu kwa muda mrefu sana. Huwa najiuliza Hawa wenyeviti wanaongoza mbuzi au watu? Miaka 15+ mtu ni mwenyekiti tu na ole wako utake kugombea uenyekiti utashughulikiwa kisawasawa.Yuko tayari kutumia resources zote za chama kudeal na wewe.Ninachoamini chama ni watu na evolution ni jambo la lazima hata kiumbe hakiwezi kubaki vilevile.Ukiondoa CCM ambacho kweli ni chama cha siasa na utaratibu wake unaeleweka vingine ni vikundi vya makanjanja tu ambavyo mimi binafsi sijui malengo yake.
 
Back
Top Bottom