Chama cha Wachaga, Chama cha Wakristo na Chama cha kigaidi; hizi zote ni propaganda za CCM dhidi ya CHADEMA nyakati tofauti

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,093
2,000
Leo imesimamiwa propaganda ya MBOWE kula fedha za chama na ruzuku. Lakini CAG baada ya ukaguzi ametoa hati safi ya ukaguzi. TAKUKURU wanajitokeza!

Pia

Mimi naiheshimu Chadema sababu imetoa nafasi kwa watoto ambao hawana backgroud ya siasa na madaraka kutoka kwenye familia duni kupata ubunge na udiwani.

Zamani ilibidi uwe CCM, u-lick asses au uwe mtoto au ndugu wa viongozi. Watu wanasahau hii phenomena.

Hasa vijana, hata kwa vyama vya upinzani waliokuwa wanapata hivyo viti vimoja vimoja ni wazee flani, tena wenye mkwanja.

Mr mkiki.
 
USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
3,622
2,000
Chadema imeshakufa itauliwa mara ngapi ,watanzania wamewashtukia hawa matapeli wa siasa kama unabisha waulize wabunge wa chadema bungeni
 
mr yamoto

JF-Expert Member
Oct 2, 2016
895
1,000
CDM imetoa msaada mkubwa sana kwa siasa yetu hapa bila kujali kuna mapungufu gani ndani ya chama. Nasema wanakosea sana wanapoamua kuhama chama na kukisema chama vibaya. Nafikiri waweke akiba ya mameno maana awamu hii itapita ili wasije kujutia baadae.
 
mmh

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
1,990
2,000
Mbowe rudisha hela za chama unawapa tabu sana kutuma hawa watoto kukutetea mitandaoni. Sijui kama unawalipa ila unavyopenda pesa sidhani, sana sana wanaambulia majina tu 'kamanda'.
 
mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,093
2,000
Chadema imeshakufa itauliwa mara ngapi ,watanzania wamewashtukia hawa matapeli wa siasa kama unabisha waulize wabunge wa chadema bungeni
Kichwa chako ni mfuko wa kubebea meno tu.
 
Lucas philipo

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
1,340
2,000
Rejea methali hi

Amani haipatikani ila kwa ncha ya upanga, usipotoshe kwamba hao unaiwaita vijana walipata ubunge hivi hivi tu, no tena big no, wakipambana ndo maana kuna wengi tu walishindana nao wakawashinda ndani ya chama na walikuwa na experience Sana, tuwabeze kwa mengine ila kwa hii sababu ya kwamba ati walibebwa unakosea sana mkuu!!

Labda kama kuna aliyepita bila kupingwa hapo tungesema alisaidiwa na chama lakini sasahv hapana vijana walipambana tuacheni unafiki!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
31,246
2,000
Leo imesimamiwa propaganda ya MBOWE kula fedha za chama na ruzuku..

Lakini CAG baada ya ukaguzi ametoa hati safi ya ukaguzi.

TAKUKURU wanajitokeza!

Pia

Mimi naiheshimu CDM sababu imetoa nafasi kwa watoto ambao hawana backgroud ya siasa na madaraka kutoka kwenye familia duni kupata ubunge na udiwani.

Zamani ilibidi uwe CCM, ulick asses au uwe mtoto au ndugu wa viongozi.

Watu wanasahau hii phenomena.

Hasa vijana, hata kwa vyama vya upinzani waliokuwa wanapata hivyo viti vimoja vimoja ni wazee flani, tena wenye mkwanja.

Mr mkiki.
Hilo la ugaidi waliwasingizia ila la Udini na Ukabila halihitaji tochi kuliona!
 
mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,093
2,000
Mbowe rudisha hela za chama unawapa tabu sana kutuma hawa watoto kukutetea mitandaoni. Sijui kama unawalipa ila unavyopenda pesa sidhani, sana sana wanaambulia majina tu 'kamanda'.
Malizia na hii pia
IMG_20191001_231101.jpeg
 
mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,093
2,000
Rejea methali hi

Amani haipatikani ila kwa ncha ya upanga, usipotoshe kwamba hao unaiwaita vijana walipata ubunge hivi hivi tu, no tena big no, wakipambana ndo maana kuna wengi tu walishindana nao wakawashinda ndani ya chama na walikuwa na experience Sana, tuwabeze kwa mengine ila kwa hii sababu ya kwamba ati walibebwa unakosea sana mkuu!!

Labda kama kuna aliyepita bila kupingwa hapo tungesema alisaidiwa na chama lakini sasahv hapana vijana walipambana tuacheni unafiki!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani bado hujaelewa nini Maana ya upinzani.
 
Dickson Edwin Mgaya

Senior Member
Apr 2, 2020
126
250
Kama huyu lijualikali alikuwa hana chochote at extent hata kula ilikuwa ni speculation hatukujali hali yake tukambeba Leo hii amekuwa na uhakika wa kupata ugali anakufuru waliombeba
 
Twamo

JF-Expert Member
May 27, 2017
1,995
2,000
Chadema imeshakufa itauliwa mara ngapi ,watanzania wamewashtukia hawa matapeli wa siasa kama unabisha waulize wabunge wa Chadema bungeni.
Ccm imetutapeli na kutudanganya tangu Uhuru na bado hamridhiki! Nyie kutwa na Chadema tu, ikifa si ndio furaha yenu? Mnawashwa na nini?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom