Chama cha Upinzani kinapaswa kubeba agenda za wananchi wote

Dunia yakoo

Senior Member
Nov 23, 2019
139
214
"Chama cha upinzani kinapaswa kubeba agenda za wananchi wote, kwa sababu chenyewe kipo nje kinaona mapungufu na maumivu kwa hiyo kinapokuja na sera yoyote kinabeba agenda ya wananchi wote bila kujali mipaka na itikadi ya vyama, hivyo kinawasemea mpaka wanaCCM” - Askofu Mwamakula

EMEXIwOXYAEI34V.jpg
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom