Chama cha UDP kinastahili kufutwa kwa kupoteza sifa za kuwa chama cha siasa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chama cha UDP kinastahili kufutwa kwa kupoteza sifa za kuwa chama cha siasa.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Byendangwero, Mar 6, 2011.

 1. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  UDP ni miongoni mwa vyama vya siasa hapa nchini, ambavyo vimepoteza umaarufu wake. Hali hiyo imekifanya chama hicho kupoteza wafuasi wake karibu katika nchi nzima, kiasi kwamba hivi sasa chama hicho ni kama mali binafsi ya mwenyekiti wake Cheyo. Sheria ya vyama vya siasa inamtaka msajiri wa vyama vya siasa kufuta chama chochote cha siasa kinapopoteza sifa za kuwa chama cha siasa. Kwakuwa UDP hivi sasa ina wanachama hai katika maeneo machache hapa nchini, tayari kimepoteza sifa za kuwa chama cha siasa na hivyo kinastahili kifutwe.
   
 2. m

  mjombajona JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 262
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hivi wanachama wake hata mia wanafika kweli nchi nzima? na je Zanzibar wapo kweli? Huyo Mwenyekiti wake kwa mbali unaweza mfananisha na mgombea binafsi......!
   
Loading...