Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 8,277
- 8,492
Kumekuwepo na matukio mengi ya mauaji ya raia wasio na hatia. Mauaji Arusha yametokea mara 3 sasa ukijumuisha na yale ya Kanisani, kisha Igunga, Mwanza, Morogoro, Iringa na Singida. Lakini hakuna majibu ya nini kilitokea.
Achilia mbali mauaji, utekaji pia umeshamiri.
Haya yote yanatendeka chini ya utawala wa CCM na pia kuinuka kwa Chadema na harakati zake.
CCM ina dola lakini imeshindwa kutoa majibu ya nani anatenda mauaji haya.
Chadema wamekuwa wakiidai CCM na dola lake kufanya uchunguzi huru lakini haitaki.
Je kati ya hawa ni nani muuaji ana hataki madhambi yake yajulikane?
Tafakari!!!!!