Chama Cha Matajiri (CCM) kinapumua kwa kutumia mashine! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chama Cha Matajiri (CCM) kinapumua kwa kutumia mashine!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gosbertgoodluck, Apr 3, 2011.

 1. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Wandugu,
  Wachambuzi wa masuala ya kisiasa nchini wanaweza wakanikosoa lakini kwa jinsi hali ilivyo sasa, naona kama Chama Cha Matajiri (CCM) kipo ICU kinapumua kwa kutumia mashine. Wakati wowote litahitajika jeneza.
   
Loading...