Chama cha mapinduzi kinatuhusu vipi watanganyika wakati hakina sura ya Tanganyika?.

Status
Not open for further replies.

Tukundane

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
11,455
8,247
Kwa anae elewa kuhusu chama cha mapinduzi (ccm).naomba anijuze kwa mtizamo wangu naona hicho chama hakituhusu watanganyika ni chama cha wazanzibar.kwa sababu wao ndio waliyo fanya mapinduzi na wanaserikali ya mapinduzi mpaka leo.kama chama chenyewe kinavyo itwa kuwa ni chama cha mapinduzi.sasa sisi watanganyika kina tuhusuje?wakati hatukufanya mapinduzi yoyote wala hatuna serekali ya mapinduzi?.utafikiri hapa watanganyika ni kama tumepigwa changa la macho.
 
TANGANYIKA AFRICAN NATIONAL UNION bwana wee acha tuuuuu.
 
Wewe unajua kuwa sharti alilopewa nyerere na waingereza kuwa lazima zanzibar itoke mikononi mwa warabu na kuwa sehemu ya Tanganyika,na hili jambo lazima lifanyike kwa gharama zozote. Huoni nyerere alikubali yote waliotaka kina karume.
 
Pana swali ambalo halijapata jibu au ushahidi, nalo ni 'Lini baba wa taifa alivaa nguo ya rangi ya CCM?'
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom