"chama cha mapinduzi iringa mnatia aibu" kuweni na ubunifu..

yohana charles

Senior Member
Mar 21, 2013
134
0
Ni kituko kweli kwa chama kinachotawala ambacho kina vyanzo lukuki vya mapato..kulikuwa na maagizo ya tff kwamba uwanja wa samora ukarabatiwe ili uweze kukidhi kutumika kwa mechi za ligi daraja la kwanza..kiukweli nilicheka baada ya kuwakuta eti wanakarabati pitch kwa kukatua kwa jembe la mkono na kupanda nyasi..kwa mtazamo wangu nilitarajia katika uwanja ule uliochakaa na kuota vichuguu vya mchwa, ile pitch ingelimwa kwa cartapilar/greda ukapigwa harrow ili ulainike ndo zipandwe nyasi...wao wakawa wanapanda kwa jembe la mkono...ccm iringa mna frame za biashara lukuki achilia mbali magodown mliyolazimisha kuyajenga ndani ya uwanja wa samora licha ya waziri wa wakti ule joel bendera kuamuru yabomolewe lakin pia mkuu wa mkoa wa wakti ule amina mrisho alipinga na hatimaye akahamishwa..kwa vyanzo vyote vya mapato,inakuwaje mnatumia njia local kiasi hicho? Nendeni mbeya mkaone na kujifunza kwa wenzenu wanavyofanya kazi...maana kiukweli mnachofanya nyie ni ubabaishaji tu.!
 
watundawangu

JF-Expert Member
Mar 26, 2011
250
170

Utaona kesho kazi hiyo ya kipuuzi ndiyo itakayopamba kwenye blogu ya Francis Godwin (mzee w matukio daima) Mi naamini kuwa Godwin alilogwa na ccm, maana upambe anaoufanya kwa ccm unazidi hata akili yake.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom