Chama cha Mapinduzi (CCM) Kimetoa tamko na kulaani Jaribio lililoshindwa la kumuua Mheshimiwa Tundu Lissu

1653ae32412fc24d6798e66daf6caad9.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli mkuu unachokisema lakini wakati huu vyema tumuombee kwa Mungu amponye. Mengine tutayajua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu tulishaomba aendelee kumlinda maana hawa MAFISADI hawana nia njema nae. Na ametusikia na kumnusuru kufa. Maana risasi zile zilipangwa afe hapohapo. Bunduki ikaishia kupiga 3 dirishani na zingine ishirini zikapindishwa kwa uwezo wa Mungu akapata majeraha tu.
 
Back
Top Bottom