Chama cha Madaktari Tz chawasilisha maombi UN ya ulinzi kwa viongozi wake

Usipokuwa mhusika ni ngumu sana kuujua ukweli.
Ni kweli madaktari wanapokea sms na calls nyingi za vitisho.
Nadhani ni sahihi tu kutafuta njia mbadala za kulinda usalama wao.
Haya ni ya ngoswe.....

I couldn't agree more
 
2719468_orig.png

647529_orig.png
 
na wagonjwa wanaokufa bila hatia kwa migomo bubu waombe ulinzi wapi? Ni ijumaa iliyopita nilienda amana hospitali kitengo cha kinamama wajawazito. Wamama walikaa toka saa moja asubuhi hadi saa tano bila kuonana na dactari na baadae nesi akatangaza. Wamama kama mnavyojua serikali imetangaza hakuna mgomo lakini sio kweli. Leo tuna madoctor wawili mmoja yuko theater mwingine labour hatuna doctor wa kuwapima wengne hawajaja tunafanya mawasiliano kuwaomba waje kuwahudumia. Atakayeweza kuendelea kusubiri asubiri kama huwezi urudi jumatatu maana madoctor hawana uhakika wa kuja. Source mi mwenyewe nilikuwepo.

Kwa hiyo our government is a liar? Je wananchi nao hawana akili na ni dhaifu!!! Ni kitu gani kinaweza kuleta ile amani na furaha na upendo wakati wa awamu ya kwanza ya urais wa Tanzania!!! Aliyempinga marehemu baba wa taifa nitamlaumu sana!!! Alifanya mazuri kwa kiasi chake na tunategemea mazuri zaidi maana kwa sasa tunawapa madini wawekezaji, na gas, na sasa uranium na mafuta!!!!! Looooo this .................so sad!!
 
Kuna mijitu mingine mijinga sana (mode nisamehe kwa kutumia neno hili),katika nchi hii!

Madaktari kila siku wanashuhudia vifo.Vifo vya aina mbili
Moja:Kuna watu wanaokuja hospitalini wakikaribia kufa,lakini si lazima wafe kwa sababunkuwepo kwa basic medicine zinaweza na utaalamu wa daktari watunhao hupona
Mbili: Kuna wanaokuja wazima kabisa, wala hawako katika hali ya kufa, lakini kutokana na kukosekana kwa vifaa na dawa za kutoa matibabu sahihi watu hawa hufa

Madatari wanashuhudia vifo hivi,
ni kama injinia anayeona daraja jengo linataka kuanguka na ana uwezo wa kuzuia lisianguke, lakini hana vifaa
Madaktari wamekuwa ni mashahidi,
wa kushuhudia vifa vya ndugu zetu,
uwezo wa kuvizuia wanao,
Ila hana nyenzo,
Nani atawasemea hawa marehemu?
Ni wananchi wangapi wameshuhudia mtu anafariki?
tena unajua kuwa ungeweza kuzuia kifo hicho?
nani atawasemea hao marehemu wanaokufa kila siku?
ninyi ndugu si mwawaachia madaktari ndo wawe mashahidi wa vifo?

Hata ukienda hospitali
una bima ya afya lakini unaambiwa hakuna dawa..unaenda kununua wadhani ni wajibu wako kufanya hivyo?
Hujiulizi kodi yako kuanzia kwenye mshahara mpaka bidhaa zote inaenda wapi?

Ndo maana niliomba mode aniruhusu kutumia neno 'wajinga'!!!
Yes, watu wasioelewa madaktari wanadai nini ni 'wajinga'

Mojawapo ya sifa ya mjinga ni uwezo mdogo wa kutoelewa mambo hata aeleweshwe namna gani

Hawa wajinga , hawasomi hata matamko ya wanaharakati wala viongozi wao wa dini

Madaktari wameeleza kuwa, japo mshahara ni mojawapo ya hoja, hoja kuu ni mazingira ya kufanyia kazi na vitendea kazi!
hawa wajinga wamerubuniwa na serikali inayoongelea mishahara tu huku hoja kuu ya mazingira ya kazi na vitendea kazi haiguswi
wajinga hawa , wameingia ktk mtego wa propaganda za serikali,

Wanaharakati wameihoji Serikali, 'Madaktari wametaja 3.5 milioni, je ninyi mtalipa shilingi ngapi? Serikali haijajibu kwanusahihi, wajinga wanashabikia tu!

Hawa wajinga, hawaju inkuwa misamaha ya kodi ya hovyohovyo, matumizi ya anasa na mabovu ya serikali, ubadhilifu wa fedha za umma kama ungethibitiwa hiyo milioni 3.5 angekuwa analipwa dereva....wajinga hawajui...

Kweli nimeamini

Tunawatu wajinga sana nchi hii!
 
...toka kule kijiji cha Msoga.

na wagonjwa wanaokufa bila hatia kwa migomo bubu waombe ulinzi wapi? Ni ijumaa iliyopita nilienda amana hospitali kitengo cha kinamama wajawazito.

Wamama walikaa toka saa moja asubuhi hadi saa tano bila kuonana na dactari na baadae nesi akatangaza. Wamama kama mnavyojua serikali imetangaza hakuna mgomo lakini sio kweli.

Leo tuna madoctor wawili mmoja yuko theater mwingine labour hatuna doctor wa kuwapima wengne hawajaja tunafanya mawasiliano kuwaomba waje kuwahudumia.

Atakayeweza kuendelea kusubiri asubiri kama huwezi urudi jumatatu maana madoctor hawana uhakika wa kuja. Source mi mwenyewe nilikuwepo.
 
UN waje wawalinde nchini? Wameishiwa mbinu hao. Wameaibika! Tuliwashauri kufikia makubaliano na serikali, wakasukumwa na tamaa, ubinafsi na kuburuzwa na wanasiasa. Sasa mgomo umeisha, na hakuna makubaliano yoyote. kwa lugha nyepesi, wamepoteza kila kitu.
 
na wagonjwa wanaokufa bila hatia kwa migomo bubu waombe ulinzi wapi? Ni ijumaa iliyopita nilienda amana hospitali kitengo cha kinamama wajawazito. Wamama walikaa toka saa moja asubuhi hadi saa tano bila kuonana na dactari na baadae nesi akatangaza. Wamama kama mnavyojua serikali imetangaza hakuna mgomo lakini sio kweli. Leo tuna madoctor wawili mmoja yuko theater mwingine labour hatuna doctor wa kuwapima wengne hawajaja tunafanya mawasiliano kuwaomba waje kuwahudumia. Atakayeweza kuendelea kusubiri asubiri kama huwezi urudi jumatatu maana madoctor hawana uhakika wa kuja. Source mi mwenyewe nilikuwepo.
Ndugu, kwenye hili suala la mgomo wa kulaumiwa NI serikali hii iyojaa wazembe ikiongozwa na bogas wao asiyejua ni nini maana ya uwajibikaji. Hili suala limeachwa kizembe zembe mpaka likafikia hapa. Madaktari hawakukurupuka leo au jana na kusema tugome. Ni uzembe wa siku nyingi. Watu waliomba urais wakifikiria kazi yao ni kukagua magwaride na kupigiwa saluti. By the way unajua watu wanaokufa kwa kukosa huduma bora (ambazo ndizo madaktari wanadai) ni WENGI KULIKO hawa wanaokufa kwa madaktari kugoma?
 
na wagonjwa wanaokufa bila hatia kwa migomo bubu waombe ulinzi wapi? Ni ijumaa iliyopita nilienda amana hospitali kitengo cha kinamama wajawazito. Wamama walikaa toka saa moja asubuhi hadi saa tano bila kuonana na dactari na baadae nesi akatangaza. Wamama kama mnavyojua serikali imetangaza hakuna mgomo lakini sio kweli. Leo tuna madoctor wawili mmoja yuko theater mwingine labour hatuna doctor wa kuwapima wengne hawajaja tunafanya mawasiliano kuwaomba waje kuwahudumia. Atakayeweza kuendelea kusubiri asubiri kama huwezi urudi jumatatu maana madoctor hawana uhakika wa kuja. Source mi mwenyewe nilikuwepo.
Wahuni hao, ulinzi wa nini?? Vipi kuhusu watu wanaokufa kwa sababu ya mgomo wao!
 
Mlosi K. Mtulutumbi Umesomeka. Ila umetumia lugha laini sana..................wengi zaidi unaorejea ni wapumbavu. Kama mtu hawezi kujua kwamba hospitari ya wilaya au mkoa wake hainia Xray, CTSCAN...anaeleweshwa na wataalamu hao bado haelewi unategemea nini
 
Last edited by a moderator:
Mnaopinga mgomo mna haki ya kuvaa gloves na kwenda kuwasaidia wagonjwa.
Hakuna ulazima wa watu wasiotaka kazi kulazimishwa. Nani aliwazuia nyie nanyi msisomee udaktari?
After all wananchi hawana mikataba na madaktari wala madaktari hawana mikataba na wananchi bali serikali.
Nao wananchi wana mkataba wa kupata matibabu toka kwa serikali na si madaktari.
hivyo kama wananchi wanahitaji matibabu wana haki ya kukamatana na serikali yao! Fungukeni muwe na akili
 
Back
Top Bottom