Chama Cha Madaktari Tanzania chatoa tamko juu ya tukio la Kaliua

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,349
4,674
IMG-20211128-WA0170.jpg
Kwanini matukio haya ya udhalilishaji wa madaktari yanaendelea kutokea?? Taarifa zinazotrend mitandaoni ni kuwa DC alilazimisha mgonjwa atibiwe wakati rufaa ilishatolewa kutokana na hali ya mgonjwa.

Kwanini techinical issues zinakuwa politicised?
 
View attachment 2026553
Kwa nini matukio haya ya udhalilishaji wa madaktari yanaendelea kutokea??
Taarifa zinazotrend mitandaoni ni kuwa DC alilazimisha mgonjwa atibiwe wakati rufaa ilishatolewa kutokana na hali ya mgonjwa.

Kwa nini techinical issues zinakuwa politicised?
Mda mwingine hivi vyama vya madaktari vimejaa uzembe na upumbavu! Daktari anafanya ujinga mgonjwa napoteza maisha au anapata madhara anajua kuna chama kitamtetea! Kuna watu humu siku yakikukuta umekutana na daktari mpumbavu nakufanyia upumbabu kwa mgonjwa wako ndo utaelewa! Hivi vyama sio ticket ya kutetea wafanya kazi wazembe!
 
chama kitamteteaje kama DC Keshatoa maamuzi?au wewe ndio DC nini?
 
Mtoto wa miaka mitano kukosa bima ya afya ni uzembe wa DC.angekuwa na bima ya afya tusingepata mgogoro huu.
Wizara ya afya iwahishe muswada wa bima ya afya ya lazima kwa wote...hili litafanya kusiwe na mijadala ya bei za matibabu wakati mgonjwa anatakiwa kupata huduma.

Mimi nitaulizia kiwango cha wananchi waliojiunga na bima ya afya hapo kaliua.
swali hii asiulizwe mtaalamu wa afya bali DC mwenyewe.
 
mtoto wa miaka mitano kukosa bima ya afya ni uzembe wa DC.angekuwa na bima ya afya tusingepata mgogoro huu.
Wizara ya afya iwahishe muswada wa bima ya afya ya lazima kwa wote...hili litafanya kusiwe na mijadala ya bei za matibabu wakati mgonjwa anatakiwa kupata huduma.

mimi nitaulizia kiwango cha wananchi waliojiunga na bima ya afya hapo kaliua.
swali hii asiulizwe mtaalamu wa afya bali DC mwenyewe.

Mtoto chini ya miaka 5 si anatibiwa bure au siyo hivyo?
 
Baadhi ya Wajinga..wanatuchukuliaga poaaa sanaaa kwakua ni viongozi !!!

Watu wajue, DAKTARI nimwanadamu anayependwa Zaidi na MUNGU.
 
View attachment 2026553
Kwa nini matukio haya ya udhalilishaji wa madaktari yanaendelea kutokea??
Taarifa zinazotrend mitandaoni ni kuwa DC alilazimisha mgonjwa atibiwe wakati rufaa ilishatolewa kutokana na hali ya mgonjwa.

Kwa nini techinical issues zinakuwa politicised?
Huyo DC ni mteule wa marehemu? Maana wateule wa marehemu, wengi walikuwa ni vichaa.
 
Back
Top Bottom