Chama Cha Madaktari Tanzania chatoa tamko juu ya tukio la Kaliua

Kwani DC hana mipaka ya kazi au HAJUI utaratibu? au wao ma-DC ndo muingu wadogo? Amejisahau kwamba kumlazimisha dakt. kunaweza kuleta shida zaidi kwa mgonjwa wake. Ingefaa yy atoe ushauri na sio AMRI/KULAZIMISHA. ni = na matumizi mabaya ya madaraka.
Huyu DC kwa vyovyote kuna mgogoro na elimu yake, anyway,ndivyo walivyo ccm!
 
Kwani PGO ya kitabibu inasemaje?
Kwa mujibu wa PGO ya kitabibu mgonjwa Kama unaona hauna uwezekano wa kumtibu. Aidha kutokana na ukomo wa taaluma yako au hospitali uliyopo ina upungufu wa vifaa tiba ni ruksa kabisa kumpa rufaa. Hata aje baba yako na si mkuu wa wilaya tu akulazimishe kutibu hupaswi kukubali. Maana akipoteza maisha your responsible for it. Huyo mkuu wa wilaya anaeng'ang'aniza Daktari amtibu mgonjwa aliyepewa rufaa, hafai kabisa kwenye nafasi hiyo. Pia haijui taaluma na misingi yake asifikiri udaktari wa binadamu ni Kama vyeo vya kisiasa ambavyo wengi wao wanavipata kwa kuoga dawa na kukesha kwa waganga. Na wala madaktari si politicians wanafanya kazi kwa kuzingatia professional hawatafuti Kiki, ili wamulikwe na makamera.
 
Kwanini matukio haya ya udhalilishaji wa madaktari yanaendelea kutokea?? Taarifa zinazotrend mitandaoni ni kuwa DC alilazimisha mgonjwa atibiwe wakati rufaa ilishatolewa kutokana na hali ya mgonjwa.

Kwanini techinical issues zinakuwa politicised?
Waache ujinga mtoto amekosa huduma kwa sababu ya kukosa pesa na kufariki. Mtoto ni mdogo wa chini ya miaka 5 ambao wanatakiwa kutibiwa bure. Wamesimamishwa kazi uchunguzi ufanyike ulitaka wananchi wachukue sheria mkononi? DC alichukuwa hatua sitahiki ili kuwapoza wananchi wangeweza kujichukulia sheria mkononi.
 
Kuna ushahidi au majungu ? Au Dr mwanafunzi kawakataa kamchagua Dr mwenzake roho imewauma
 
Mda mwingine hivi vyama vya madaktari vimejaa uzembe na upumbavu! Daktari anafanya ujinga mgonjwa napoteza maisha au anapata madhara anajua kuna chama kitamtetea! Kuna watu humu siku yakikukuta umekutana na daktari mpumbavu nakufanyia upumbabu kwa mgonjwa wako ndo utaelewa! Hivi vyama sio ticket ya kutetea wafanya kazi wazembe!
uko sahihi but huyo dc si angefata tu utaratibu unaohitajika kufanikisha uamuzi wake tabu iko wapi? ni sawa na yule dc aliewatuhumu watu kuiba madawati kisha akawachapa viboko hadharani badala ya hao watu kushtakiwa kwa utaratibu wa kisheria uliopo, sisi waafrika tuna matatizo mno
 
vipi yule DOCTOR malaya aliye mtia mimba mke wangu niliye mpeleka hospitalini kwake ili ajifungue kisha akatongoza aakamla akamjaza mimba nyingine nikamshtaki kwenu alafu MCT mnasema hana hatia na kibaya zaidi kamuwowa ilhali huyu doctor malaya alikuwa na mkewe na mitoto kibawwo kampa talaka mahakamani ili amuoe tu mke wangu.
NYIE SIO POA NYIE WAJINGA NA MALAYA. DAWA YENU IPO MSITUCHUKULIE POAA

CC: Mshana Jr
Mkuu,samahani sana kwa ,yaan mkeo kabisa ilikuaje yan?!?
 
Kwani kazi ya mkuu wa wilaya ni kusimamia nidhamu ya watumishi wilayani kwake?Au ndo kutafuta kiki ajulikane kwamba anafanya kazi maana nchi hii bila kiki hupandi cheo na huonekani kwa wakubwa.
Watumishi wote wa Halmashauri wanasimamiwa nidhamu zao na afisa utumishi. Ilitakiwa huyo DC aelekeze afisa utumishi afuatilie na kuchukua hatua stahiki za kisheria.
 
Back
Top Bottom