Chama cha madaktari (MAT) hakina uwezo wa kisheria kuitisha migomo

serikali haitaki kuwasikiliza kwanini?
wakimaliza na kusikilizwa tunaingia sisi!
 
Aisee!

Naona sasa mmeanza kufanya Home Work zenu.

Mgomo ni mgomo.

Sijui kama kunamgomo halali mbele ya serikali yeyote Duniani.

Ukifuta Chama cha Hiari watu Madaktari watakutana kwa hiari bila kuwa na Chama.

Zisi pipo bwana!

Government has failed to fulfill its obligations now it is trying to assassinate the character of Dr's unity.
You might ban all organisations,you might stop all gathering , you might condemn all citizens in the effort to stop being attacked by Truth but you will never be able to stop the will and power of PIPO.
What made Drs to come together is not their Organisation but it is the reality of the situation they face every day in their effort to provide services to their fellow Tanzanian.
So many patients have died in their hands simply because they don't have right equipment and medication.
Patient have to be admitted in the wards which have no running water and functional toilets.
So much funding for Hospitals welfare have been swindled by Government officialls denying patients from full Drs services
We have beautiful laws and rules in our books, but laws without accountability is big source of chaos.
The CCM Government is not accountable to itself and the PIPO who put it there.
Physically and By Definition we have Government.
Functionally the CCM Government is DEAD and all Government officials including Jakaya Mrisho Kikwete are either schizophrenia or walking Zombie

Well well said mkuu na sidhani kama mwanzisha thread kama amejifikiria mara mbili kabla ya kufanya post hapa
 
Kwani madaktari wa hospitali binafsi sio wanachama wa MAT? mbona hawaungi mkono hii migomo?
 
Inanipa picha ya matatizo ambayo yapo kwenye hospitali za UMMA ambayo not necessarily yapo kwenye hospitali binafsi. Muathirika ndiye anayelalamika, kama kitu hakikuathiri utakilalamikiaje? Utapingaje wagonjwa kulala chini wakati katika hospitali waginjwa wote wana vitanda? Utadai vipi dawa wakati katika hospitali yako mgonjwa anadeka hataki dawa fulani (wakati huko kwetu kajamba nani kichwa kinamuuma daktari kwani dawa best ya mgonjwa wake hamna na inabidi atafute yenye afadhali)?

Funguka kimawazo...fikiri...usijipe upunguani usikuwa nao kwa sababu ya ushabiki fulani tu!
Riwa,
Nadhani ni rahisi kutamka matusi, kejeli, dharau kuliko kuyaandika. Mimi sina ushabiki hapa. Nalilia tu mioyo ya watu wasio na hatia inayopotea zaidi kutokana na mgomo huu. Pia nilidhani MAT ni NGO ya wote, maDaktari waajiriwa serikalini na kwingineko na hivyo azimio lile lingewabana wote. Nilipokuwa chuo tuligoma mwalimu wetu mmoja afukuzwe kazi kwa sababu ya kuuza na kuvujisha mitihani hata ya walimu wenzake. Waliokuwa wateja wake wa kununua mitihani hii wakakataa kutuunga mkono. Wakaenda madarasani. Chuo hakikukalika.
Sijipi upunguani wowote bali tunataka mgomo wenye MASLAHI mapana ya kitaifa. Sio kuhangaika na mtu kwa haiba, dini au kabila yake. Dr Mponda hana hata miaka miwili kwenye wizara ile. Mengi ya matatizo pale ameyakuta.
 
Tatizo la sekta ya AFYA sio la hao wanaotakiwa kujiuzulu. Ni la UONGOZI wa NCHI na vipaumbele vyake. Fedha ya kugharamia uchaguzi mdogo kokote atakakokufa Mbunge zinapatikana haraka sana lakini sio kununua mashine moja muhimu pale Muhimbili! Juzi tumeshuhudia zikitafunwa billions kwenye sherehe za miaka 50 ya uhuru.

Uongozi wa nchi hauwahusu hao wa wizara ya afya?
 
Hatua zinazostahili kuchukuliwa:


  1. Msajili wa Vyama vya Hiyari afanye kazi yake na arejee usajili MAT ili ajiridhishe kama MAT bado inastahili usajili kama chama cha hiyari;
  2. Kila daktari ana mkataba binafsi wa kazi. Asiyehudhuria kazini asilipwe mshahara mwisho wa mwezi huu. Kuhudhuria kazini sio kusani kitabu cha mahdhurio na kuondoka;
  3. Mwanasheria Mkuu wa Serikali akaombe tamko la Mahakama ya Kazi kuwa MAT hawana mamlaka kuitisha migomo na pia madaktari wanaotoa essential services wana utaratibu wa kugoma ambao haukufuatwa.
  4. Madaktari kutoka nchi za nje wanaotaka kufanya kazi Tanzania wakaribishwe na wapewe vibali vya kufanya kazi;
  5. Hatua za Kisheria zichukuliwe dhidi wa wafanyakazi wanaotoa huduma maalum (Essential Services) wanaogoma kinyume na sheria.
kwa kweli hapa tulipofikia haikwepeki hatua hizi kuchukuliwa.
 
samahani sana kutumia Neno hili lakini Nadhani Mnachokifanya ni UKATILI,USALITI na Kuwapiga Mateke Watanzania Ambao Kodi zao ndio zimekupeni TAALUMA hiyo ambayo mnatumia Sasa Kwa MAKSUDI kuwaua Watanzania.
Katika Majadiliano yoyote Huwezi Kuingia na Kutaka YAKO TU ndio Yachukuliwe Kama ni hivyo Hakuna HAJA YA MAJADILIANO,ukiingia na RIGIDITY kuwa Yangu yote Yatimizwe huna haja ya kujadiliana basi na Huna NIA YA SULUHU,ukikubali Majadiliano Lazima ukubali kuwa FLEXIBLE Ukubali WIN-win Situation ,You win a little and Loose a little,hiyo ndio Formula ya kufikia Maafikiano ktk Majadiliano yoyote.
 
Hiki ni kipindi kigumu tuvumiliane tu, kama serikali imeona watu wawili ni bora kuliko mamia ya watanzania basi nataka kuamini wao ndo wametugomea wananchi. Hakuna asiyejua msingi wa mgomo wa awali na Serikali ilitaka kujikausha ikidhani imemaliza kazi kama wanavyotufanyia kwenye kesi za mafisaidi na mikataba mibovu. Ukombozi hauji bila mikwaruzo...!
 
Tatizo kubwa linalotukabili hapa Tz ni upofu tuliopigwa na uongozi wa serikali hii iliyopo madarakani, Thanks GOD sasa matumaini ya kuuona mwanga na kuachana na upofu huo yameanza kujitokeza HONGERENI DRS na uzi ni huohuo.Hawa makanjanja walioiba haki za raia wa nchi hii na kujiingiza madarakani wanadhani bado wa Tz ni wajinga kumbe wao ndio wajinga.Haiwezekani kila anayejaribu kudai haki yake iwe ya maslahi kutokana na ajira yake au kuboresha huduma katika maeneo ya kazi aonekane ni msaliti.Leo tunaishi kama kuku ambaye anakwenda kulala pasipo kujua kesho msosi utapatikana vipi, Serikali isiyo na vipaumbele katika mambo yake ni sawa na KONDO LA NYUMA,can u imagine itz only 3 months ago thz guys spent over 64 billions eti kwenye sherehe za 50 yrs of Independence.Hey guys kwa kiasi hicho cha pesa ni vifaa vingapi vingenunuliwa na kuboresha huduma za hospitals zetu kuanzia the so called Nationa Hospital hadi kwenye zahanati.Drs hakuna kurudisha majeshi nyuma, na mkumbuke hakuna haki inayotafutwa kwa kukutana kwenye kikao Moven pick, mambo yote kama alivyosema Marehemu Mwenyekiti Mao-Tse-Tung REVOLUTAION IS NOT A DINNER PARTY
 
Mwalimu Nyerere aliwahi Zungumza "Wasomi ktk Nchi Maskini ni sawa na Wanakijiji wamejifunga,ili ukasome uje kuwatumikia,sasa ukishahitimu Elimu ile Unawakimbia kwenda Tafuta Maslahi Mazuri zaidi,Huu ni USALITI".
 
Hali duni ya Mishahara,Sekta ya Afya haitokani na Udhaifu wa kiutendaji wa hawa Mawaziri, bali uduni wa Kifedha wa Wizara na Serikali ikilinganishwa na Mahitaji ht Ukimuweka Ulimboka,Mkopi hamtafanya Miujiza, ktk Dunia ya tatu kote Sekta ya Afya ni Duni si kwetu tu,hii ni kuongopea Wananchi kwa Sababu mnazozijua ninyi.
 
Madaktari bingwa wananufaika zaidi na mgomo huu. Zahanati zao na hospitali zao zinatengeneza pesa kwelikweli kipindi hiki. Nilipita Tumaini na TMJ jana kulikuwa kumependeza sana. Sisi wengine tuendelee tu kushabikia hali hii kama mazuzu! Mgomo ungekuwa ni kwa MASLAHI ya NCHI hakuna DAKTARI hata mmoja angeenda kazini hata wale wa hospitali binafsi.

Utumbo ni nyama ya ndani siyo mnofu. Kwani lazima uchangie hoja hata kama hujui kwa nini madaktari wamegoma?
 
DECLARATION OF GENEVA
Adopted by the 2nd General Assembly of the World Medical Association, Geneva, Switzerland, September 1948, amended by the 22nd World Medical Assembly, Sydney, Australia, August 1968, and the 35th World Medical Assembly, Venice, Italy, October 1983.
AT THE TIME OF BEING ADMITTED AS A MEMBER OF THE MEDICAL PROFESSION:
I SOLEMNLY PLEDGE myself to consecrate my life to the service of humanity;
I WILL GIVE to my teachers the respect and gratitude which is their due;
I WILL PRACTICE my profession with conscience and dignity;
THE HEALTH OF MY PATIENT will be first consideration;
I WILL MAINTAIN by all the means in my power, the honour and the noble traditions of the medical profession;
MY COLLEAGUES will be my brothers;
I WILL NOT PERMIT consideration of religion, nationality, race, party politics or social standing to intervene between my duty and my patient;
I WILL MAINTAIN the utmost respect for human life from its beginning even under threat and I will not use my medical knowledge contrary to the laws of humanity;
I MAKE THESE PROMISES solemnly, freely and upon my honour.


Nawakumbusha tu.


 
TAZARA nao wamegoma. Wanataka Omar Nundu ajiuzulu. Nadhani watafuata Walimu, watataka Dr Shukuru Kawambwa ajiuzulu. Watakuja Polisi na askari Magereza, Mh Shamsi Nahodha aondoke. Wanajeshi nao watatafakari. Watakumbuka yale mabomu. Watagoma, Mh Hussein Mwinyi aondoke. Haya mambo ni sawa na kula nyama ya mtu.


Kama kiongozi hawezi kazi na anaowaongoza hawamtaki kwa nini ang'ang'anie?? Wewe hujawahi kisikia watu wanawakataa wazazi wao kwa kushindwa kutimiza majukumu yao kama wazazi?? Inaelekea wewe ndiyo walewale..... kuna siku mkeo au wanao watakukataa kama baba ndiyo utajua maana ya nguvu ya umma ni nini!!
 
Endelezeni sihasa zenu kwani kuna ugumu gani kuwatoa kafara hao mawaziri wawili kuokoa walalahoi wanaanza kukata roho kila dakika?
 
The Declaration of Geneva, as currently amended, reads:

At the time of being admitted as a member of the medical profession:


  • I solemnly pledge to consecrate my life to the service of humanity;
  • I will give to my teachers the respect and gratitude that is their due;
  • I will practice my profession with conscience and dignity;
  • The health of my patient will be my first consideration;
  • I will respect the secrets that are confided in me, even after the patient has died;
  • I will maintain by all the means in my power, the honor and the noble traditions of the medical profession;
  • My colleagues will be my sisters and brothers;
  • I will not permit considerations of age, disease or disability, creed, ethnic origin, gender, nationality, political affiliation, race, sexual orientation, social standing or any other factor to intervene between my duty and my patient;
  • I will maintain the utmost respect for human life;
  • I will not use my medical knowledge to violate human rights and civil liberties, even under threat;
  • I make these promises solemnly, freely and upon my honor

NAKUMBUSHIA TU.

 
Chama cha Madaktari Tanzania ni Chama Cha hiyari na si Chama cha Wafanyakazi ambacho kina UWEZO WA KUITISHA MIGOMO. Kwa mujibu wa masharti ya usajili wa TMA, hakuna kipengele kinachotoa mamlaka kwa MAT kuitisha migomo. Kitendo cha kuitisha migomo ni sababu tosha kwa Msajili wa Vyama vya Hiyaribu kukifuta Chama hiki ambacho kinaenda nje ya majukumu yake kisheria. bTembelea tovuti ya Chama hiki utakuta kuwa chama hiki kinaongozwa pia na MAADILI (medical ethics). Welcome to Medical Association of Tanzania

“To promote the medical and allied sciences, to maintain the honour and interests of the medical professions and to uphold a high standard of medical ethics and conduct among its members. To act as representative body of the medical profession in Tanzania and to liaise with and advise the Government on health and medical matters. To ensure, maintain and safeguard the interests privileges and welfare of its members.

Moja ya maadili ya madaktari ni kutosababisha madhara kwa wagonjwa.

Kwa sababu uchumi wetu ni wa soko huria, madaktari ambao hawapendi kufanya katika sekta ya umma wawe na ujasiri wa kuondoka na kupeleka huduma zao hospitali binafsi na huko ni soko huria ambalo litawachuja wazuri na wasio wazuri.

Hatua zinazostahili kuchukuliwa:

  1. Msajili wa Vyama vya Hiyari afanye kazi yake na arejee usajili MAT ili ajiridhishe kama MAT bado inastahili usajili kama chama cha hiyari;
  2. Kila daktari ana mkataba binafsi wa kazi. Asiyehudhuria kazini asilipwe mshahara mwisho wa mwezi huu. Kuhudhuria kazini sio kusani kitabu cha mahdhurio na kuondoka;
  3. Mwanasheria Mkuu wa Serikali akaombe tamko la Mahakama ya Kazi kuwa MAT hawana mamlaka kuitisha migomo na pia madaktari wanaotoa essential services wana utaratibu wa kugoma ambao haukufuatwa.
  4. Madaktari kutoka nchi za nje wanaotaka kufanya kazi Tanzania wakaribishwe na wapewe vibali vya kufanya kazi;
  5. Hatua za Kisheria zichukuliwe dhidi wa wafanyakazi wanaotoa huduma maalum (Essential Services) wanaogoma kinyume na sheria.

Mgomo wa madaktari unahatarisha usalama wan chi yetu kwa sababu sasa unabeba sura ya kisiasa kupitia chama cha hiyari. Hatua zisipochukuliwa, vyama vingine vya hiyari vitafuata mkumbo wa kuvunja sheria. Usalama wan chi uko hatarini pale wenye taaluma na elimu nzuri wanapovunja sheria bila hatua madhubuti kuchukuliwa. MUNGU IBARIKI TANZANIA.
acheni uongo jamani ebu chunguzeni madai ya madoctor,,,kweli hayo mawaziri yanathamani kuliko watz?kama hawataki kujiuzulu washtakiwe kama wauaji na si dkctors....doctors wana haki je, ingekua sie walimu tuso nathamani simngetuchapa mafimbooo????acheni ujinga msowahurumia dkts......hamumjui adui yenu na kwa kutomjua adui yenu ni ujinga na elimu ndogo hususani ya history...bye
 
“To promote the medical and allied sciences, to maintain the honour and interests of the medical professions and to uphold a high standard of medical ethics and conduct among its members. To act as representative body of the medical profession in Tanzania and to liaise with and advise the Government on health and medical matters. To ensure, maintain and safeguard the interests privileges and welfare of its members.

Mleta mada ni kiazi wa kiingereza na you have no right to quote and then go against quotations. The phrase ya just quoted says it all about the purpose of chama cha madaktari. Your twisted view does not change a thing!!

What you call haki is "subjective". What is happening now is the government doesnt want a win-win situation. This is not about whether it is right or wrong to strike, it is about whether the government is playing its part or not in addressing the issue.

People like you who look at "haki" from a minority point of view are hated by me. The majority of Tanzanians get health services from these same doctors. Those who make decisions whether it is right or wrong to strike do not even know the doctors - they go abroad and fools like you and me, foot the bill!! And then you come and say they have no right to demand anything.

Know this - if you want change, put all options on the table!
 
Back
Top Bottom