macho_mdiliko
JF-Expert Member
- Mar 10, 2008
- 21,697
- 39,400
Haa haa. Mbona vijana wa mjini kujiita mabaharia ni mtindo wa siku nyingi sana? Nashangaa watu wanapagawa kama ni jambo jipya. Wapiga debe, wabwia unga, vijiweni neno ''sema baharia wangu' limeanza kutumika siku nyingi.mkuu wewe ni baharia??