Chama cha mabaharia chaja juu

Haa haa. Mbona vijana wa mjini kujiita mabaharia ni mtindo wa siku nyingi sana? Nashangaa watu wanapagawa kama ni jambo jipya. Wapiga debe, wabwia unga, vijiweni neno ''sema baharia wangu' limeanza kutumika siku nyingi.
ni kweli limetumika siku nyingi.
 
,una utani na Kigwangalla wewe
Yupo muhishimiwa mmoja huwa anajinadi kuwa yene ni 'Bakharia' mstaafu.
Ni mmoja wa Mawaz....... wetu.

Nadhani MABAHARIA wa ukweli wangeanza kumkemea huyu kuweka mfano Mzuri iwapo kweli wanakerwa.
 
Kwa sasa limeota mizizi mkuu
Haa haa. Mbona vijana wa mjini kujiita mabaharia ni mtindo wa siku nyingi sana? Nashangaa watu wanapagawa kama ni jambo jipya. Wapiga debe, wabwia unga, vijiweni neno ''sema baharia wangu' limeanza kutumika siku nyingi.
 
Aiseee leo kazi yangu kucheka tu kwani ndio baharia wa kwanza tz mwambie atulie tu hakuna namna tutaenda mpaka kwa akina captain
 
Unajua roho zinawauma coz sisi mabaharia wengine tumekua mabaharia bila kusota saan na kukaa darasan mda mrefu.
Sasa shida yao na sisi tukapigike
Hahahaha logic mkuu hawa jamaa naona wanaingia kwenye mtego sijui kama watafanikiwa zaidi ndio watalipandisha jina juu 🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆
 
Hili suala la kwenda kutafuta kiki kwenye mikutano na waandishi wa habari ndio mnazidi kuipa promo hiyo slang, tumieni reverse physchology
 
Back
Top Bottom