Kibumbula
JF-Expert Member
- Mar 26, 2018
- 3,681
- 3,346
Chama cha mabaharia wa ukweli, kimewajia juu vijana na watu wenye tabia ya kujiita mabaharia wakati hawana taaluma hiyo.
Hivi karibuni kumekuwa na tabia ya watu,hasa vijana kujiita mabaharia.Ubaharia huo umeonekana kutapakaa sana mitandaoni.
Chama hicho kimesema kitendo cha watu kujiita mabaharia,hakileti taswira nzuri.
Mabaharia wa kweli kutoa tamko: Chama cha Mabaharia kimesikitishwa sana na kinakemea kitendo cha vijana wasio na vigezo kujiita mabaharia.
Chama hicho kimechukizwa na utani unaoendelea mitandaoni, kwasababu unaweza kuleta athari kwenye carrier ya ubaharia