Chama cha Labour cha nchini Uingereza kimepongeza juhudi za Rais Magufuli na Serikali yake kwa utendaji mzuri katika kulinda na kugawanya rasilimali kwa watu wake.
View attachment 628575
Source: DarMpya
Swali langu kuu kabisa ni je!? Kwanini pongezi zimekuwa muhimu na zinatafutwa kokote zinakopatikana iwe kihalali ama isivyo kihalali kwa awamu hii??Chama cha Labour cha nchini Uingereza kimepongeza juhudi za Rais Magufuli na Serikali yake kwa utendaji mzuri katika kulinda na kugawanya rasilimali kwa watu wake.
View attachment 628575
Source: DarMpya
Mnasumbuliwa na maradhi ya kupendwa na kupongezwa kaahChama cha Labour cha nchini Uingereza kimepongeza juhudi za Rais Magufuli na Serikali yake kwa utendaji mzuri katika kulinda na kugawanya rasilimali kwa watu wake.
View attachment 628575
Source: DarMpya
Wewe ni li chadema nini? Mbona hutaki pongezi kwa jpm?Swali langu kuu kabisa ni je!? Kwanini pongezi zimekuwa muhimu na zinatafutwa kokote zinakopatikana iwe kihalali ama isivyo kihalali kwa awamu hii??
Labour ni chama kinachounga mkono ushoga kwahiyo sishangai.
Naam! Conservative na Republicans ndio vyama sio haya ma-free masons. Ni aibu kupongezwa na Labour au Democrats.Labour ni chama kinachounga mkono ushoga kwahiyo sishangai.
Zimelipiwa hizo Mkuu.Swali langu kuu kabisa ni je!? Kwanini pongezi zimekuwa muhimu na zinatafutwa kokote zinakopatikana iwe kihalali ama isivyo kihalali kwa awamu hii??
Wewe ni li ccm ndiyo maana munawashwa washwa li pmj likikosolewa!Wewe ni li chadema nini? Mbona hutaki pongezi kwa jpm?
Na maccm yangetokwa povu kuwatukana hao wazungu matusi yote!Sipati picha habari hii ingekuwa ni taarifa ya kuikosoa serikali ya JPM......TANAPA yangefurika hapa kwa maelfu!!
Acheni kuichafua LabourChama cha Labour cha nchini Uingereza kimepongeza juhudi za Rais Magufuli na Serikali yake kwa utendaji mzuri katika kulinda na kugawanya rasilimali kwa watu wake.
View attachment 628575
Source: DarMpya
Washirika wao wakubwa ni CHADEMA, Ka googleLabour ni chama kinachounga mkono ushoga kwahiyo sishangai.