Chama cha kijani chatafu nafasi nyingine kwa mgombea wake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chama cha kijani chatafu nafasi nyingine kwa mgombea wake

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by kitalolo, Apr 2, 2012.

 1. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  BAADA YA KUSHINDWA KUMPATIA UBONGE MNONO MGOMBEA WAKE ALIYEACHIWA FAMILIA BAADA YA BABA YAKE KUFARIKI, CHAMA HICHO CHA KUWATAFUTIA MAYATIMA KAZI ZA UBONGE KINAANZA MCHAKO MWINGINE WA KUMTAFUTIA KIJANA HUYO ALIYESHINDWA KUOA KAZI NYINGINE ILI AWEZE KUILISHA FAMILIA ALIYOACHIWA NA BABA YAKE MZAZI.
  CHAMA HICHO KINAWAOMBA WAPENZI WAKE WATE WENYE NAFASI ZA KAZI AMBAYO ATAWEZA KUIFANYA KIJANA WAO AMBAYE HATAKI KUOA KUTOKANA NA FAMILIA KUBWA KUMPATIA KIJANA WAO MARA MOJA.
  MASHARTI YA AJIRA YAAMBATANE NA KUPEWA LISHANGINGI LIMOJA LA MKOPO AMBAO SIO LAZIMA KUULIPA
  SHILINGI MILIONI MOJA KILA MWEZI ZA KUHUDUMUIA JIMBOO LAKE LA UCHAGUZI
  MAFUTA YA GARI YENYE MSAMAA WA KODI
  POSHO YA KULIPIA MASABURI NA KUSINZIA (HII YUKO RADHI KUPOKEA ILE YA ZAMANI)
  MSHAHARA AMBAO NI SIRI KALI ZA BONGE LA JAMUHURI ISIYO HURU YA WADANGANYIKA.

  TUNAOMBA NAFASI HIYO MUTUPATIE HARAKA KWANI JUHUDI ZA CHAMA KUMPATIA NAFASI YA AWALI KABLA YA KUBADILI BAR ZARA LA MAWAA ZIRI ILI KUMCHOMEKA NA YEYE ZIMESHINDIKANA KUTOKANA NA UPINZANI MKALI KUTOKA KWENYE CHAMA PINZANI NA WANANCHI WALIOJITOLEA KULINDA KURA ZAO.

  TAMKO LA CHAMA:

  CHAMA CHA KUSAIDIA AJIRA MAYATIMA ( KWAKIFUPI CCkaM)
  KIMELAANI KITENDO CHA WANANCHI KUKESHA NJE YA OFISI ZA KUHESABIA MATOKEO NA KUHAKIKISHA KUWA WANASHINDWA KUMPATIA KIJANA WAO MMOJA AJIRA ILI AWEZE KUKABILIANA NA UGUMU WA MAISHI KUFWATIA KUACHIWA FAMILIA YA KUILEA
  TAMKO HILO LA CHAMA LILIENDELEA KUBAINISHA KUWA JUHUDI ZAKE ZA KUWAKOMBOA VIJANA MAYATIMA KUTOKANA NA UGUMU WA MAISHA AIDHA LILIKWAMISHWA NA POLISIU WA CHAMA HICHO KUSHINDWA KUTUMIA VIZURI NA KWAHARAKA MABOMU ILIYOWAKABIDHI KUWATAWANYA WTU WALIOKUWA WAKISUBIRIA MATOKEA
  PIA CHAMA HICHO KIMESEMA KUWA KUTOKANA NA KUKWAMISHWA KATIKA JUHUDI ZAKE ZA KUWAPATIA VIJANA AJIRA HAKITAENDELEA NA JUHUDI ZILIZOKUWA ZIANZISHWE ZA KUWAPATIA WATU WOTE AJIRA

  TUNAWAOMBA WANANCHI WOTE MUELEWE KUWA KAMA CHAMA TUMESIKITISHWA SANA NA KULIPOTEZA JIMBOO LETU NA HII NI ISHARA KUWA SASA VYAMA VYA UPINZANI WAMETUWASHIA TAA YA MANJANO NA BAADA YA HAPO HATUJII KAMA WATAWASHA NYEKUNDU AU KIJANI.


  PIA CHAMA KIMESIKITISWA SANA NA MAKUNDI WA WANACHAMA WANAFKI WALIOKO NDANI YA CHAMA.
  PIA TUNGEPENDA KUWATAARIFU KUWA TUKO TAYARI KUKABIDHI NCHI KWA CHAMA CHA UPINZA IFIKAPO MWAKA 2015
  HIVYO TUNAWAOMBA WANANCHI WOTE KUKIPIGIA KURA CHAMA CHA UPINZINI KWENYE UCHAGU MKUU UJAO MAANA WAMESUBUTU NA WAMEWEZA NA TUNAONA WANASTAHILI
  NA KIMEDHIIRISHA KUWA
   
 2. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Maskini wana Arumeru wamemkatili mno kijana wa watu aliyejiwekea malengo makubwa kupita kiasi.
   
 3. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 329
  Trophy Points: 180
  Imetulia mkuu...
  Ila ifanyie editting,hzo herufi kubwa tupu zinachosha kusoma
   
 4. a

  amiride JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wampe ubunge wa viti maalum
   
 5. Kamaka

  Kamaka JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 565
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ni joke nzuri..ila ndefu
   
Loading...