Uchaguzi 2020 Chama Cha Kijamii(CCK) kimeshindwa kutimiza vigezo vya kisheria kuteuliwa kugombea nafasi ya Urais

Hapa watu wanaandaliwa kisaikolojia usikute hata hicho chama kilichukua fomu kwa mpango huo
 
Chama Cha Kijamii (CCK) kimekuwa chama cha Mbuzi wa Kafara kwa makosa ya kutokulipa ada ya milioni moja pia mgombea mwenza kutokuonekana katika ofisi za TUME hivyo kukosa sifa na kusababisha kuenguliwa!

Swali: Walikuwa hawajui utaratibu wa Mgombea Urais na Mwenza kwenda pamoja?
Sio hivyo,
kiongozi wake anafahamika vizuri tu...ni Afisa kipenyo kabisa!!

Hawa jamaa wanatumika vibaya sana, sana! Hii kazi wanayofanya sio wanayotumwa taifa!

Wamekuwa mawakala wa viongozi waovu wa CCM
 
Wanaweza kutowapitisha wagombea wote wa Urais LAKINI kama watakuwa wamempitisha Tundu Lisu na Magufuli, hakuna shida.

Lakini hata wawapitishe wagombea wote wa Urais halafu wakaacha kupiwatisha Tundu Lisu na Magufuli, Tume yote itaonekana inaongozwa na watu wenye uwendawazimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani amechukua fomu afu hajalipia million moja?? Na amerudisha fomu bila mgombea mwenza? Ccm na Nec mnafanya Mambo ya KIJIMA kabisa.
Kukosea kwa mgombea mmoja hakuhalalishi kukosea kwa mgombea mwingine!! Hovyoo movie director wake atakuwaa Msiba😂
 
Katika urejeshaji huo simuoni mgombea mwenza akiambatana na mgombea urais.


Nilitarajia kuona mgombea wa kiti cha urais kutoka chama CCK akiambatana na mgombea mwenza. Je inawezekana asiteuliwe?

UPDATE
Rasmi CCK imeshindwa kutimiza vigezo vya kisheria kuteuliwa kugombea nafasi ya urais.

1. Picha za mgombea urais ndg Daudi Mwaijejele zimewasilishwa

2. Picha za mgombea mwenza ndg Ally Saidi Juma kukosekana

3. Mgombea Mwenza kutofika mbele ya Tume.

4. Kutowasilisha stakabadhi ya Tshs Milion 1 .

TAMKO LA TUME
Chama cha CCK imekosa sifa ya kuteuliwa hi yo mgombea nafasi ya Urais ndugu Daudi Mwaijejele na mgombea mwenza ndugu Ally Saidi Juma hawajapitishwa na Tume ya Uchaguzi kugombea nafasi walizoomba

View attachment 1547745

View attachment 1547709
Hivi hiki si kile cha kina Nape, Sitta na mzee wa degree nne??
 
Tunamtaka Lissu.Lissu ni mtanzania mwenzetu na tunataka tumpigie kura.


Mie na familia yangu kura ni kwa Lissu.Watumishi wote kura ni kwa lissu
 
Mgombea urais kupitia CCK amekatwa baada ya kushindwa kukidhi vigezo.

Mh David Majojele amefika ofisi za NEC akiwa bila mgombea mwenza wake na hiyo ni kinyume cha kanuni

Source East Africa radio!
 
Back
Top Bottom