Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA), kinawakilisha maendeleo gani?

Kwahiyo wakijenga hilo jengo basi tayari utawaamini?Rubbish
Wajenge makao makuu,waimarishe chama vijijini. Inshort wafuate maono ya Chacha Wangwe waliemtanguliza mbele ya haki baada ya kuona isingewezekana kumshinda kwenye box la kura katika kugombea Uenyekiti.
 
Comment yako hii ndio imebeba hoja nzima,thread nzima ni blah blah tu huku lengo lako ukilifichaficha,sasa umejianika!
Pole kwa chuki zako binafsi na Mbowe,kuna kitu alikutafunia kama sio kukutafuna wewe,sio kwa kinyongo hiki!
 
Wazazi wangu wana furaha sana. Tokea 1992 mpaka leo nimeshajenga mijengo miwili mikubwa mizuri kuliko hiyo office za Chama cha demokrasia na maendeleo.
Aibu hii unajiletea! Mali alizonazo Joseph Mbilinyi ukoo wenu wote hauna
 
Aibu hii unajiletea! Mali alizonazo Joseph Mbilinyi ukoo wenu wote hauna
Za msimu hizo. Mwaka 2020 anapigwa chini. Na ndo ataanza kuuza kimoja baada ya kingine. Na hivi mnziki ndo hana tena kiki. Ndo bye bye.Mimi my prof nitafanya kazi na biashara zangu zitaendelea vizazi mpaka vizazi.
Kumbe wao wana mali ila chama sifuri. Ndo maana nikasema hiyo ni Saccos. Wao wanaendelea. Chama kipo pale pale kilipokuwa 1992.
 
Victoire, mwaka 1992 ukiwa darasa la kwanza ndipo Chadema na vyama vingine vya upinzani vilianzishwa hapa Tanzania, na sasa una umri wa miaka 27 umepiga hatua kubwa sana kimaendeleo ukilinganisha na hatua iliyopiga Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).

Kwanza ungetupa mfano wa chama chochote unachokijua cha upinzani popote Duniani kilichoanzishwa wakati huo na sasa kina magorofa na majumba nchi nzima ili tupate pa kuanzia mjadala wako.
Chama cha Mapinduzi hakijawahi kujenga magorofa ila vyote inavyomiliki ni kutokana na utaifishaji na michango ya wananchi wote, tangu wakati wa mfumo wa chama kimoja tena chama dola kilicho shika hatamu.

Nikupe mifano miwili, KANU ya Kenya baada ya kuanguka ilishtakiwa mahakamani na Mali zake kutaifishwa na serikali, ilikua na majengo na viwanja kama Ccm. Vile vile kama wewe ni mfuatiliaji wa vyombo vya habari, hivi sasa serikali ya mpito ya Sudan inataka kukivunja chama cha Omar al Bashir na kutaifisha mali zote za chama, kwanni! kwasababu zilichangiwa na wananchi wote.

Kwa KANU baada ya kutaifishwa kwa mali zake zote na kuwa za serikali wale wooote waliojidai wakereketwa na wafia chama wote walikikimbia chama na kumuacha mzee Moi na mwanae Gideon Moi ambae ndiye mwenyekiti wa chama kwa sasa, walibaki pekeyao ndani ya chama.

Chadema ni chama cha demokrasia ingawa changamoto zipo za hapa na pale ambazo ni kawaida kwa jumuhia yoyote duniani. wanao wanachama karibuni nchi nzima, na chaguzi zinafanyika kila baada ya muda waliojiwekea katika katiba yao. Tangu 1992 mpaka sasa kimebadilisha wenyeviti 3 mpaka, kueneza chama nchi nzima si jambo dogo, ndiyo maana kuna vyama toka 1992 havijulikani na wananchi wengi. Ni kwa sababu ya ukosefu wa fedha, uongozi katika vyama vya upinzani ni wa kujitoleo.
Kwa hayo demokrasia ndani ya chama siyo kumiliki majengo na viwanja, ni chama kukua na viongozi kuanzia mashinani mpaka ngazi ya taifa pia kuwa na itikadi thabiti na sera nzuri zitakazo waletea wananchi maendeleo endapo kitashika madaraka. mimi pia huo mwaka 1992 nilikua darasa la pili kama wewe.
Na hii inaonesha utofauti wenu. Wote mna umri mmoja. Lakini mmoja amepata maendeleo ya ukubwa wa mwili pekee, mwingine amepata maendeleo ya ongezeko la mwili na ongezeko la ufahamu.
 
Comment yako hii ndio imebeba hoja nzima,thread nzima ni blah blah tu huku lengo lako ukilifichaficha,sasa umejianika!
Pole kwa chuki zako binafsi na Mbowe,kuna kitu alikutafunia kama sio kukutafuna wewe,sio kwa kinyongo hiki!
Ukweli unauma. Chama cha maendeleo kisichokuwa na maendeleo pamoja na kupokea ruzuku na kuwakata wabunge asilimia 10 ya mishahara yao ya ubunge kila mwezi. Pongezi kwa Mtei kwa kuiona fursa. Ndo raha ya kusoma finance.
 
Chama cha demokrasia. Nafasi ya mwenyekiti haina ukomo wa madaraka. Mbowe ataongoza hadi kisukari kitakapomchukua.
Ruzuku zote hizo wameshindwa hata kujenga jengo lao ? Bado wamepanga nyumba ya Mtei.
Mungu atamchukua Mbowe na mwingine yeyote kwa namna aliyompangia. Akitaka, siku ikifika anaweza kumchukua Mbowe kwa namna nyingine, na wewe ukachukuliwa kwa kisukari kinachoonekana ungependa sana Mbowe awe nacho.
 
Aisee wewe mchokozi sana, hivi ile ruzuku ya 320milion kila mwezi wanaitumiaje? Hata kuboresha kajengo wameshindwa kabisa, aibu?
Ungewauliza kwanza ccm kwanini wako madarakani miaka yote hiyo na nchi bado ni masikini wa kutupwa.
.
Kuna umasikini wenye matumaini ila wetu hauna matumaini kaabisa tuko mwishoni hata nchi zenye vita hatuzigusi tumekalia kujisifia amani amani utafikiri hata tunaigusa amani ya Namibia tu hapo hovyo kweli
 
Na hii inaonesha utofauti wenu. Wote mna umri mmoja. Lakini mmoja amepata maendeleo ya ukubwa wa mwili pekee, mwingine amepata maendeleo ya ongezeko la mwili na ongezeko la ufahamu.
Wewe hatuna umri mmoja. Wakati chama kinaanza mimi nilikuwa standard one. Leo nimemaliza degree zote za fani flani. Nimeolewa nimezaa,nafanya kazi naendelea kila inayoitwa leo. Chama makao makuu yapo kwenye sebule iliyokuwa ya mtei mwaka 1973.
Eti kinajiita chama cha maendeleo.
Ruzuku wanapata,wanawakata wabunge asilimia 10 kila mwezi eti wanajenga chama.Wakati hatuoni maendeleo huku nje.
 
Ukweli unauma. Chama cha maendeleo kisichokuwa na maendeleo pamoja na kupokea ruzuku na kuwakata wabunge asilimia 10 ya mishahara yao ya ubunge kila mwezi. Pongezi kwa Mtei kwa kuiona fursa. Ndo raha ya kusoma finance.
Tuwape madaraka tuone watafanya nini,maana hawa ccm miaka zaidi ya 60 bado nchi inategemea misaada kujiendesha!
 
Mungu atamchukua Mbowe na mwingine yeyote kwa namna aliyompangia. Akitaka, siku ikifika anaweza kumchukua Mbowe kwa namna nyingine, na wewe ukachukuliwa kwa kisukari kinachoonekana ungependa sana Mbowe awe nacho.
Sifi leo wala kesho. Mbowe ni mzee atakufa miaka mingi mno kabla yangu. Yes nina sukari ila kufa baaaaado sana yani baaaaado sana. Nina miaka 70 ya kuishi inanisubiri tena.
 
Za msimu hizo. Mwaka 2020 anapigwa chini. Na ndo ataanza kuuza kimoja baada ya kingine. Na hivi mnziki ndo hana tena kiki. Ndo bye bye.Mimi my prof nitafanya kazi na biashara zangu zitaendelea vizazi mpaka vizazi.
Kumbe wao wana mali ila chama sifuri. Ndo maana nikasema hiyo ni Saccos. Wao wanaendelea. Chama kipo pale pale kilipokuwa 1992.
Unauhakika gani Chadema haina pesa? Matumizi ya pesa za chama unayajua?
.
Yani umekazana kabisa maendeleo ni jengo😝😝😝😝 wadau wamekuuliza sana unataka liweje husemi embu eleza sasa unataka liwe la ghorofa ama?
 
Tuwape madaraka tuone watafanya nini,maana hawa ccm miaka zaidi ya 60 bado nchi inategemea misaada kujiendesha!
Hawa hapana. Maana tushawaona wanayoyafanya Chadema. Ona Mbowe alichomoa page za katika zilizoongelea ukomo wa kugombea Uenyekiti. Sasa tukimpa Urais je ? Magufuli atakuwa cha mtoto. Kusema ukweli mimi nalilia mgombea binafsi kwa kweli.
 
Sifi leo wala kesho. Mbowe ni mzee atakufa miaka mingi mno kabla yangu. Yes nina sukari ila kufa baaaaado sana yani baaaaado sana. Nina miaka 70 ya kuishi inanisubiri tena.
Weee kizazi chako si kizazi cha Kamanda Mbowe na umesema una sukari huchukui round wewe tunakuimbia parapanda italia.
.
Life expectancy ya Tanzania kiuhalisia ni 50 years sasa hivi una 34 umeanza unafiki na majungu bado una sukari heee mayu washilaga
 
Unauhakika gani Chadema haina pesa? Matumizi ya pesa za chama unayajua?
.
Yani umekazana kabisa maendeleo ni jengo😝😝😝😝 wadau wamekuuliza sana unataka liweje husemi embu eleza sasa unataka liwe la ghorofa ama?
Hawana pesa. Pesa zinaingia zinakwenda kwa Mtei. MTEI NDO MWENYE PESA. Hujiulizi kwa nini nafasi ya Uenyekiti ni family members tu. Alianza Mtei,akaja Bob Makani ambae kaoa mdogo wa Mtei,akaja Mbowe ambae kaoa mtoto wa Mtei. Believe me baada ya Mbowe atafuatia mjukuu wa Mtei.
Fungueni fahamu zenu watanzania.
 
Wewe hatuna umri mmoja. Wakati chama kinaanza mimi nilikuwa standard one. Leo nimemaliza degree zote za fani flani. Nimeolewa nimezaa,nafanya kazi naendelea kila inayoitwa leo. Chama makao makuu yapo kwenye sebule iliyokuwa ya mtei mwaka 1973.
Eti kinajiita chama cha maendeleo.
Ruzuku wanapata,wanawakata wabunge asilimia 10 kila mwezi eti wanajenga chama.Wakati hatuoni maendeleo huku nje.
Maendeleo gani unayataka wewe?
Nikuonyeshe Ford rangers za chama au Toyota Land Cruiser?
 
Weee kizazi chako si kizazi cha Kamanda Mbowe na umesema una sukari huchukui round wewe tunakuimbia parapanda italia.
.
Life expectancy ya Tanzania kiuhalisia ni 50 years sasa hivi una 34 umeanza unafiki na majungu bado una sukari heee mayu washilaga
Ulilemba nyanda. Naliho sana umu ice iyi. Nagujeka u Mbowe naliguwela.
 
Nishaolewa tangia 2007.
Mwaka 1992 darasa la kwanza, mwaka 2007 ulikwishaolewa.

Mwaka 1992 darasa la kwanza
Mwaka 1998 kumaliza darasa la saba
Mwaka 1999 kuanza form 1
Mwaka 2002 kumaliza form 4
Mwaka 2005 kumaliza form 6
Mwaka 2006 kumaliza 1 year certificate
Mwaka 2007 kuolewa.

Uliamua kutopata elimu ya kutosha kwaajili ya kukimbilia kuolewa? Unayoyajadili naona yamekuzidi ufahamu!!
 
gfsonwin,
Naongelea Chadema. Chama cha demokrasia na Maendeleo. Two wrongs do not make a right,my friend. Chadema walitakiwa wayaishi maendeleo. Kama 1992 leo 2019 wamepanga nyumba ya mtei. Ni maendeleo yapi hayo ? Kweli inaonyesha hata Tanzania hawataiendeleza. Wamepata pesa za ruzuku washindwa hata kuendelea kama chama.
Binafsi mi naona kutoka kutokuwa na mbunge hta mmoja mpaka kuwa na wabunge 70+ hyo kwangu ni maendeleo......sijajua km hilo umeliona!
 
Back
Top Bottom