Chama cha CHAUMMA chapewa usajili rasmi na Tendwa

Tangopori

JF-Expert Member
May 11, 2012
1,629
1,281
Chama cha chaumma leo kimepewa usajili wa kudumu na msajili wa vyama vya siasa John Tendwa,
na pia amesema kuna sheria inaandaliwa ya kushughulikia vyama vinavyoleta uchochezi, kutukana polisi na kutukana viongozi

mwenyekiti wa muda wa chaumma ni Wales Mayunga!

Source: ITV habari saa mbili usiku!
 
Hapo kwenye RED kama sijamuelewa Tendwa vile, anamaana gani?? Inaonesha kuwa amewekwa pale kama msukule na watu ambao kwake ndio viongozi huku hivyo vyama anavyovisema haamini kama vina viongozi...

Pia aje na sheria ya kudhibiti viongozi wa vyama wanaojihusisha na UJANGILI na dili za MADAWA YA KULEVYA kama yule kijana aliyekamatwa China
 
Sitta hahusiki kweli?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Tendwa hafai hata kidogo..anatumika kwa faida ya maccm.tendwa ni mtu mbaya saba...aende awafunge akina lusinde , nape nauye na lameck mkumbo hao ndio mabingwa wa kutukana...viongozi...huna jipya tendwa! Bora ujinyamazie tu.
 
Hapo kwenye RED kama sijamuelewa Tendwa vile, anamaana gani?? Inaonesha kuwa amewekwa pale kama msukule na watu ambao kwake ndio viongozi huku hivyo vyama anavyovisema haamini kama vina viongozi...

Pia aje na sheria ya kudhibiti viongozi wa vyama wanaojihusisha na UJANGILI na dili za MADAWA YA KULEVYA kama yule kijana aliyekamatwa China

Usilete uchochezi, Bongo tunashughulika na wanaosema juu ya ufisadi sio mafisadi wenyewe. kwani hiyo ndio njia mbadala isiyotikisa nchi kwani tukiwagusa mafisadi na wachapa madili nchi itayumba.
 
Hongera zenu kina Six na Membe, angalau Nec ikiwatosa kwenye urais mtapata pa kukimbilia. Ila nimeipenda Bendera yenu, nilitamani nchi ya Tanganyika ingekuwa na flag kama hilo ili timu ya Taifa iwe na jezi za kuvutia kuliko hizi za sasa hazina mvuto.
 
Back
Top Bottom