Chama ana mengi ya kujifunza kutoka kwa Fei toto

Shadeeya naona jamaa hajui kama mimi ni Simba mwenzie! Namna hii kama mpo vitani si mtajikuta mnashambuliana wenyewe kwa wenyewe sasa? Yaani hapo kama ni kuroga itabidi niende kuroga ili Nkana apakatwe
Ndio naona meshakutana hapo na huu muunganiko wenu basi hakuna haja ya Manara kuwepo.

Moisemusajiografii. Yaani tutapata tambo za kila aina.
 
Ndio naona meshakutana hapo na mjunganiko wenu basi hakuna haja ya Manara kuwepo.

Moisemusajiografii. Yaani tutapata tambo za kila aina.
Cletous Chota Chama, wamjua vizuru lakini huyo? Waambia magazeti, redio, televisheni na mitandao yooote mithili ya JF huko Zambia wanataja jina lake kwa jinsi hofu ilivyowaingia

Manara alishasema kiwango cha huyu jamaa ni ajabu na uonevu kwamba anaendelea kucheza soka Afrika na sio Arsenal
 
Sisi Alhamdulillah tunaambaa ambaa na uongozi wa ligi. Kwa mbaali Chama akishika mpira huwa kamoyo kanadunda ila hao wengine zilipendwa tu.
Hicho kiti cha uongozi wa ligi unajua mmekaimishwa tu wakati wenyenacho wapo kwenye majukumu ya kimataifa

Ndio mjiandae kisaikolojia mtakapokua mnakikabidhi taaaratibuu
 
Na we sio wa kwanza ujue. Itakuwa tunafanana tu na huyo unayemfananisha.
Aisee inawezekana best. Maana mpaka uanajangwani, mwandiko, sura n.k

By the way, mimi ni Mwanajangwani mwenzio.

Wape hi mikia waambie tumewazidi points 11 (Usisahau kufikisha hizi salam ni muhimu mkuu)
 
Naunga mkono hoja,
Chama bado sana kwa feisal, wamekutana na vibonde mbabane mnamwona mchezaji, wakati mechi na Ndanda, Mbao, Yanga na Lipuli kachemsha,
 
Naunga mkono hoja,
Chama bado sana kwa feisal, wamekutana na vibonde mbabane mnamwona mchezaji, wakati mechi na Ndanda, Mbao, Yanga na Lipuli kachemsha,
Feisal dogo kahorojeka sana, mtoto umleavyo ndio akuavyo.
Mwambieni dogo huku bara hatutaki ujinga wake wa kutuonyesha onyesha boksa yake.
 
Feisal dogo kahorojeka sana, mtoto umleavyo ndio akuavyo.
Mwambieni dogo huku bara hatutaki ujinga wake wa kutuonyesha onyesha boksa yake.
Lakini unaonage uchezaji wake? Kama wa kishoga hivi ila unavutia eeh!!
 
Aisee inawezekana best. Maana mpaka uanajangwani, mwandiko, sura n.k

By the way, mimi ni Mwanajangwani mwenzio.

Wape hi mikia waambie tumewazidi points 11 (Usisahau kufikisha hizi salam ni muhimu mkuu)
Nimefurahi kukufahamu. Na kwa hakika salamu zimeshawafikia huko waliko niongezee tu kwamba wajue viporo vina mawili kuchacha au kutokuchacha.
 
Back
Top Bottom