Dogo fei toto yupo vizuri, inabidi aongeze tu staminaHapa akipewa tuition bure View attachment 965133
Naona unataka kuwakera zaidi wenye Chama waoDogo fei toto yupo vizuri, inabidi aongeze tu stamina
Aaah ngoja warudishwe kichwa chini huko kitwe Mkuu,saiz wanamwita mwamba wa lusaka,yaani anavyofahamika Zambia ni sawa mikia wanavyomfahamu KessyNaona unataka kuwakera zaidi wenye Chama wao
We waache tu. Sisi yetu macho na masikio.Aaah ngoja warudishwe kichwa chini huko kitwe Mkuu,saiz wanamwita mwamba wa lusaka,yaani anavyofahamika Zambia ni sawa mikia wanavyomfahamu Kessy
Kabisa.Ni wa kutwangwa "masasi" hadharani bila kupitia mahakama.Kufananisha Triple C na mambo ya kijinga ni uhaini
Kumbe Mkuu na we ni wa Msimbazi?Kabisa.Ni wa kutwangwa "masasi" hadharani bila kupitia mahakama.
Atajifunza nn kwahiyo kengeHapa akipewa tuition bure View attachment 965133
Kabisa mkuu.Yaani hadi bhaaaaasssssiiii!Kumbe Mkuu na we ni wa Msimbazi?
Hii sauti nimefananishaKabisa.Ni wa kutwangwa "masasi" hadharani bila kupitia mahakama.
Ni ya kwangu ustaadh!Hii sauti nimefananisha
Duuh. Simba lia lia. 😂😂Kabisa mkuu.Yaani hadi bhaaaaasssssiiii!