Chama akitaka kucheza Ulaya,inabidi akubali kujifunza kwa Makambo

Kiuhalisia simba inazizidi timu zote za Tanzania kwa sasa kuanzia talented players mpaka fedha. Mkuu kubaliana na hili hata kama wewe ni chura Yanga ina mashindano mawili tu labda na mapinduzi ijitokeze haina mashindano yoyote ya kimataifa.
.
Ukitaka soka la burudani la kukupa raha roho mpaka mwili hamia simba mtani.
Na yule kocha wenu mwenye ndevu nyingi? Ngoja tu na Mimi nifuge ndevu naweza pata kibarua cha kuinoa mikia a.k.a makinikia.
 
Na yule kocha wenu mwenye ndevu nyingi? Ngoja tu na Mimi nifuge ndevu naweza pata kibarua cha kuinoa mikia a.k.a makinikia.
Umekimbilia kwa kocha chura, ndala fc washangiliaji wa draw tatizo yule muthungu wewe muafurika😁😁😂😂
 
Umekimbilia kwa kocha chura, ndala fc washangiliaji wa draw tatizo yule muthungu wewe muafurika
Ahaaa kumbe mikia mnachojali ni uzungu tu, ndio maana kuna mwaka flani mlimleta mzungu flani mkasema ametokea Brazil na ma CV mengi balaa ila cha ajabu siku ya kwanza tu alipofika mazoezini akaweza kuita "Ulimboka Mwakingwe!!!!" Kwa nguvu Tena kwa ufasaha bila hata kupata shida kidogo hata kwenye lafudhi.
 
Hivi wakija FIFA au CAF hata UEFA Tanzania waulizeni timu gani yenye wachezaji bora na wenye individual skills nyingi, au ni timu gani inacheza mpira haswaa (mpira wa Barcelona), ama ni timu gani inaogopwa Tanzania utajibu timu gani?
Mpira ni magoli.
Mpira ni makombe.

Chenga, kanzu, step over ni naksi tu. Barcelona anaupiga mwingi na makombe ana beba.

Ulinganifu uwe na mantiki.
 
Mpira ni magoli.
Mpira ni makombe.

Chenga, kanzu, step over ni naksi tu. Barcelona anaupiga mwingi na makombe ana beba.

Ulinganifu uwe na mantiki.
Simba tunapiga baskeli nyingi na ni mabingwa au umesahau boss!
 
Makambo hata majimaji hawamchukui kwa mkopo, timu yenyewe kimataifa aka mbili wametia aibu club bingwa na shirikisho
 
Makambo hata majimaji hawamchukui kwa mkopo, timu yenyewe kimataifa aka mbili wametia aibu club bingwa na shirikisho
 
Back
Top Bottom