Mtu wa Pwani
JF-Expert Member
- Dec 26, 2006
- 4,184
- 671
leo mashindano ya challenge yanatarajiwa kuanza leo ni timu yetu ya taifa itatimuana na Zambia katika ufunguzi wa mashindano haya
Tanzania itawakilishwa na zanzibar heroes na kilimanjaro heroes
dua na kila la heri kwa timu zetu
hiki ni kipimo chengine kwa timu zetu za taifa
ijapokua wataaluma wa soka wanabashiri kua timu zetu zitafanya vizuri
tufuatilie na kupashana habari hizo kupitia hapa