Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 14,081
- 22,362
- Thread starter
- #521
Nilisahau mywangu lakini wewe si nitakupa hela nyumbani, pamoja na ile kitu inamesa mwensakeBabe umeniquote ili nikose hela kwanini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilisahau mywangu lakini wewe si nitakupa hela nyumbani, pamoja na ile kitu inamesa mwensakeBabe umeniquote ili nikose hela kwanini?
Hapa mkuu umeninyima vocha makusidi kabisa.😂Sio vizuri mkuu kutukana watu
NimeshindaMpaka sasa hakunaga mshindi 😀😀😀
Mimi hapa ndo mshindi sasa
Hata mods wenyewe hii kitu hawawezi. Wameset mtu huwezi kutuma kitu hewa bila maandishi.
Duh, huu uzi upo badoTuma vocha yangu chap!
Vp mkuu unashangaa
Mojawapo ya dalili za upungufu wa nguvu za kiume au akili kuyumba ni kuquote comment hii
Duh, nisamehe, sio leo 😁😁😁Mkuu nakusalim
Upo tena sanaDuh, huu uzi upo bado