Chalinze: Mabosi watatu wa Tanzania Investment Centre, wafariki ajalini

haya magari madereva wao wanatakiwa kuwa monitored
Inawezekana hawa ndio madereva wa form six,madereva wa darasa la saba walikuwa makini sana ila sasa kazi yao imeingiliwa kutokana na shida za ajira.
 
View attachment 783211 View attachment 783214 View attachment 783211 View attachment 783214
Habari za usiku wadau kuna ajali mbaya iliyotokea leo usiku maeneo ya Chalinze na kugharimu maisha ya Mabosi watatu wa TANZANIA INVESTMENT CENTRE.

Mabosi hao walikuwa wanaelekea Dodoma kwenye mkutano/Kikao muhimu kilichokua kifanyike Kesho Jijini Dodoma.

Waliofariki ni Saidi Amiri Moshi (Kaimu Mkurugenzi wa Research zamani Corporate Affairs), Zacharia Kingu (Kaimu Mkurugenzi wa Corporate Affairs zamani Investment Promotion) na Martin Masalu (Meneja Research).

Waliopata majeraha ni wawili yaani Godfrey Kilolo (Meneja wa Sheria) na dereva wa gari hilo aliyejulikana kwa jina moja tu la Priscus.

Mwenyezi Mungu aziweke roho za Marehemu mahali pema peponi na awaponye majeruhi wa ajali hii mbaya.
Kibaha Morogoro kipande kibaya sana hiki... Msiba wa ajali unauma sana.... Wakapumzike kwa amani... Ukisafiri ukarudi salama mshukuru sana Mungu hata kama humuamini
 
View attachment 783211 View attachment 783214 View attachment 783211 View attachment 783214
Habari za usiku wadau kuna ajali mbaya iliyotokea leo usiku maeneo ya Chalinze na kugharimu maisha ya Mabosi watatu wa TANZANIA INVESTMENT CENTRE.

Mabosi hao walikuwa wanaelekea Dodoma kwenye mkutano/Kikao muhimu kilichokua kifanyike Kesho Jijini Dodoma.

Waliofariki ni Saidi Amiri Moshi (Kaimu Mkurugenzi wa Research zamani Corporate Affairs), Zacharia Kingu (Kaimu Mkurugenzi wa Corporate Affairs zamani Investment Promotion) na Martin Masalu (Meneja Research).

Waliopata majeraha ni wawili yaani Godfrey Kilolo (Meneja wa Sheria) na dereva wa gari hilo aliyejulikana kwa jina moja tu la Priscus.

Mwenyezi Mungu aziweke roho za Marehemu mahali pema peponi na awaponye majeruhi wa ajali hii mbaya.
Kuna Bwana aitwaye Kingu Daaah ameniuma sana.
 
Spidi hizo. Chezea V8 nini!!! Kwa ilivyopigwa, mwenye makosa atakuwa driver wa V8. Ndiyo maana akaipenyeza ubavuni ili yeye apone. Hata hivyo, angeenda kichwa kichwa na kuwa head-on colliosion, wote wangepona maana airbags zingefunguka na kuwalinda wote. hizo V8 zina airbags kiboko sana. ubinafsi na uzembe wa driver umefanya yeye apone na wengine wafe.
 
0000081307_10.jpg
speedkills_komnxp.jpg
speedkills225.jpg
R.I.P Maboss
 
Spidi hizo. Chezea V8 nini!!! Kwa ilivyopigwa, mwenye makosa atakuwa driver wa V8. Ndiyo maana akaipenyeza ubavuni ili yeye apone. Hata hivyo, angeenda kichwa kichwa na kuwa head-on colliosion, wote wangepona maana airbags zingefunguka na kuwalinda wote. hizo V8 zina airbags kiboko sana. ubinafsi na uzembe wa driver umefanya yeye apone na wengine wafe.
It happens automatically
 
Back
Top Bottom