princemikazo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 2,197
- 2,051
Hii njemba itakua inadeku nini hapo upande wa pili wa eneo duh..!!
@ChaliiYaKijengeJuu.
@ChaliiYaKijengeJuu.
Mmh.
Nimeguna nilichokiona Mkuu, hicho alichokitumia kukanyaga kufikia huko anakochungulia upande wa pili.Vipi tena mamiloo mbona miguno?
Atakuwa informer wa warumi, yuko kazini.