Chalamila: Katiba Mpya ni muhimu, Katiba ya sasa inawezekana akapatikana Makamu wa Rais mchawi akamroga Rais ili yeye awe Rais wa nchi

duuuh Mungu anajua zaidi anataka kuifanyia nini tz

WAAMUZI 14:4
Wazazi wake hawakujua kwamba huo ulikuwa mpango wa Mwenyezi-Mungu ambaye alikuwa anatafuta kisa cha kuchukua hatua dhidi ya Wafilisti. Wakati huo, Wafilisti waliwatawala Waisraeli.
 
WAAMUZI 14:4
Wazazi wake hawakujua kwamba huo ulikuwa mpango wa Mwenyezi-Mungu ambaye alikuwa anatafuta kisa cha kuchukua hatua dhidi ya Wafilisti. Wakati huo, Wafilisti waliwatawala Waisraeli.
nimekwelewa mkuu shikamoo!
 
Atakuwa ametumwa na chadema sio bure mwanaccm Katu hawezi dai katiba mpya
 
nimekwelewa mkuu shikamoo!

YEREMIA 29: 11-12
Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema Bwana, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho.

Nanyi mtaniita, mtakwenda na kuniomba, nami nitawasikiliza.

Nanyi mtanitafuta na kuniona, mtakaponitafuta kwa moyo wenu wote.
 
Mwanangu_mwenywee_uyoo%F0%9F%A4%A3%F0%9F%A4%A3%F0%9F%A4%A3_aiseee_nakikubali_Sana_Hiki_kichwa.jpg
 
Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Mbeya na Baadae Mwanza ndugu Albert Chalamila amesema anaunga mkono Mabadiliko ya katiba mpya na kutoa sababu kwamba kwa katiba iliyopo sasa inaruhusu makamu wa Rais kuchukua nafasi ya Rais punde anapo aga Dunia.

Chalamila amesema katiba hiyo ni mbaya kwa sababu endapo akitokea Makamu wa Rais mchawi anaweza kumroga Rais aliyepo Madarakani ili afe na yeye kuchukua Madaraka.
 
Yaani ni kweli makamu anaweza kumroga Rais akadanja ili awe Rais yeye! Ujumbe umefikaa kwa wahusika!
Chalamila kachanganyikiwa, Duniani kote kunakuwepo na Makamu
haya Katiba imuweke Mkuu wa Majeshi ndio tuseme hatamloga au kumdunga risasi ili ashike madaraka?
 
Back
Top Bottom