Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,597
- 215,272
Hasa kwa wale wenye excess body fatty, unataka kuiacha ipungue kwa metabolic process naturally. Kula cabbage au cauliflower kama main meal. Unaweza kuweka nyama au samaki juu yake kama mboga ya kulia.
Cabbage inalikata vipande vidogo sana, kama una mashine ya kukatia ni bonus. Ukisha kata steam cabbage, weka kwenye sahani.
Kama huna steamer, chemsha maji na chumvi kidogo, maji yakiwa yanachemka kwenye sufuria iliyojaa, weka cabbage kwa dakika tano tu, litoe uchuje na kuweka kwenye sahani.
Cauliflower unaweza kukatwa kwenye food processor. Kama huna kisukari na kibao vinaweza kufanya kazi.
Pika kwa njia ile ile ya cabbage.
Cabbage ni nzuri kwa bodi day vya tumbo. Cauliflower na cabbage vyote ni vizuri kwa diabetes hasa type II.