Chakula kipi uliwahi kutana nacho ugenini ukajutia ugeni wako?

Sema samaki wa ziwa nyasa Wana shombo kwa ambae sio mwenyeji huwawe,I labda umpate mpishi.
Aisee wamenishinda wanashombo balaa wengine wanamiba mikali sana mtoto hawezi kula magege wanavichwq vigumu balaa ukiwapika shombo lake mtaa wapili wanaskia wooi nlishindwa kabisa labda dagaa pekee tena wadogo wadogo sio wale wakubwa kama vidole
 
Umeeleweka, ila uliposema wewe mwanaume wa Dar hulagi Dona ndo tukajiuliza wanaume wa Dar hawali dona au wewe peke yako? Mimi dona kwa mara ya kwanza nimelila Dar tena mgahawa wa hadhi kabisa na lina bei zaidi ya sembe.
Mie mwanamke, hiyo migahawa ya hadhi sijawahi kuingia.....na sio kila kinachouzwa mgahawa wa hadhi kinaliwa na kila mtu.
Ukienda mgahawani tena uliza bei ya fish crab🦀 , je wewe unakula?
 
Aisee wamenishinda wanashombo balaa wengine wanamiba mikali sana mtoto hawezi kula magege wanavichwq vigumu balaa ukiwapika shombo lake mtaa wapili wanaskia wooi nlishindwa kabisa labda dagaa pekee tena wadogo wadogo sio wale wakubwa kama vidole
Mwenyewe siwawezi,nikitaka kula hawa samaki yaani niwakaange tu,lkn wa michuzi siwezi/miba,shombo,

Na dagaa pia niwakaange lkn sio michuzi siwezi,miba balaa.
 
Daaa!! Nilikuwa natoka shamba nina ubao sana,nafika sehemu ninayo acha majembe nakuta ugali na nyama,nikaufakamika kutuliza njaa.

Baadaye ya msosi na kushiba ndii,nakwenda msalani nakuta ngozi ya chatu imeanikwa hata haja ndogo ilikata.

Alafu natoka nje namkuta mzee mwenye nyumba ananiambia "Babu nimekufugia ka mbogo kidogo uende nako nyumbanimaana hii nyama huwa natumia pekee yangu na ni nyingi Leo ndo nimekupata na wewe mshirika"
 
Attachments

  • 1706299397885.gif
    1706299397885.gif
    312.5 KB · Views: 2
Juzi hapo nilinunua samaki warefu hivi kwa akili yangu nikajua ni Chuchungi kwani walikuwa na midomo mirefu. Toka wife apike wale samaki yani tukisikia harufu ya samaki kichefuchefu hata chakula sili. Kumbe ni nyoka wa baharini, yule mzeee nilimpiga marufuku na vikwazo asije nyumbani kwangu kamwe. .

Docta kanishauri nitumie Zentel na dawa flani zitakata kichef chefu. Ndo nimetumia dozi ya siku tatu hopefully it will be alright. .

😂😂
 
Daaa!! Nilikuwa natoka shamba nina ubao sana,nafika sehemu ninayo acha majembe nakuta ugali na nyama,nikaufakamika kutuliza njaa.

Baadaye ya msosi na kushiba ndii,nakwenda msalani nakuta ngozi ya chatu imeanikwa hata haja ndogo ilikata.

Alafu natoka nje namkuta mzee mwenye nyumba ananiambia "Babu nimekufugia ka mbogo kidogo uende nako nyumbanimaana hii nyama huwa natumia pekee yangu na ni nyingi Leo ndo nimekupata na wewe mshirika"
 
Daaa!! Nilikuwa natoka shamba nina ubao sana,nafika sehemu ninayo acha majembe nakuta ugali na nyama,nikaufakamika kutuliza njaa.

Baadaye ya msosi na kushiba ndii,nakwenda msalani nakuta ngozi ya chatu imeanikwa hata haja ndogo ilikata.

Alafu natoka nje namkuta mzee mwenye nyumba ananiambia "Babu nimekufugia ka mbogo kidogo uende nako nyumbanimaana hii nyama huwa natumia pekee yangu na ni nyingi Leo ndo nimekupata na wewe mshirika"
Hukutapika?
 
Ukiwa ni mtembeaji sana haswa wa vijijini, lazima ujifunze kula kila unacholetewa. Mimi binafsi sichagui, chochote nakula.
 
Kuna mahala hapa Tanzania, wale chambo wa kuvulia samaki wanakatwa katikati, kisha wanakaangwa kwenye mafuta. Wanaliwa kwa ugali. Hata hawa mkuu wewe unafakamia?
 
Umenikumbusha kuloweka mahindi haha, ilikua lazima yalowekwe then yaanikwe yani yakipelekwa.mashine yanatoa unga mweupe saanaaaa na unakua na radha flani amazing yani,.me pia dona nilikuja kula wakati niko form 1 boarding school ole wiki ya kwanza nilipata shida sana kula hilo dona nikawa mchana siendi kula nangoja rice usiku ni bahati tu ile shule ilikua rice ni everyday jioni na Sunday Pilau ila tu mchana wote ni ugali dona na maharagwe au nyama ila yalinishinda.
Unga wa kuloweka ukichanganya na unga wa mhogo kwa mbali unakuwa mtamu sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom