Chakula gani ulikula mara moja na kwa mara ya kwanza hadi leo hutaki tena kukila?

Parachichi kuweka juu ya wali kula Kama mboga, au mlenda kula na wali, au kuchanganya mboga kwenye bakuli moja, mf dagaa, maharage, tembele pamoja alafu kula bila kutofautisha, nimeshindwa hii vitu.
 
Parachichi kuweka juu ya wali kula Kama mboga, au mlenda kula na wali, au kuchanganya mboga kwenye bakuli moja, mf dagaa, maharage, tembele pamoja alafu kula bila kutofautisha, nimeshindwa hii vitu.
Tumboni unavitofautisha? Unapokunya unavitofautisha?
 
Nilikunywa supu ya pweza 2012 ila ghafla kichwa kikaanza kuuma, mwili unaisha nguvu, tumbo linaunguruma, jasho linanitoka na kuanza kutapika,

Mpaka leo nikimuona pweza napita kushoto.
ilikuwa ni kwasababu waliweka viagra kwenye supu, hivyo mapigo ya moyo wako yalipanda yaani pressure ilipanda mzee. pweza ni chakula kizuri tu.
 
Back
Top Bottom