Chakula gani mjamzito atumie ajifungue mtoto mwenye nywele nyingi?

sasa mkuu mbona unataka nywele nyingi badala ya kujali afya ya mtoto?
 
Anywe maji mengi sana like 5litre per day trust me sio nywele mtoto.atatoka na ngozi nzuri sana hata mama itamsaidia
 
Back
Top Bottom