Chai ya maziwa ya Mwanamke

Lovebird

JF-Expert Member
Sep 27, 2012
5,723
7,559
Nchini Uingereza mama mmoja amekuwa akikamua maziwa yake na kuyatumia kupikia chai ya wanafamilia.
Wanafamilia wamekiri chai hiyo kuwa na virutubisho vingi sana. Na wanaipenda

Kwa TZ wapo wanaosema yana ondoa hang-over Je ni kweli?
 
Huku itakuwa na ugwadu!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
That is the last thing i,ll taste nikiwa na akili timamu. Sipati picha matiti ya huyo mama ni makubwa kiasi gani mpaka yatoshe kukamua maziwa ya familia, nadhani ni type ya akina mama ambao akipiga deki akiwa hajavaa kitu juu utadhani ana mikono minne.
 
Yale maziwa yana ladha mbaya. Tungekua tunayanyonya tukiwa wakubwa tusingekua tunayameza.
 
Nyie ndo wale hata mkiona watu wanageuzana huko nchi za nje nanyi mnataka kuiga.
 
That is the last thing i,ll taste nikiwa na akili timamu. Sipati picha matiti ya huyo mama ni makubwa kiasi gani mpaka yatoshe kukamua maziwa ya familia, nadhani ni type ya akina mama ambao akipiga deki akiwa hajavaa kitu juu utadhani ana mikono minne.
kwani wingi wa maziwa unategemea size ya matiti!!
 
Normally huwa kuna vifaa maalumu vya kukamua maziwa ya mwanamke...kuna wanawake wasionyonyesha huwa pia wanatumia vifaa hivyo kuwa kamulia wanao.

That is the last thing i,ll taste nikiwa na akili timamu. Sipati picha matiti ya huyo mama ni makubwa kiasi gani mpaka yatoshe kukamua maziwa ya familia, nadhani ni type ya akina mama ambao akipiga deki akiwa hajavaa kitu juu utadhani ana mikono minne.
 
Hakuna kiumbe chochote duniani kinacho kunywa maziwa ya kiumbe mngine isipokua binadam tu, tunakunywa maziwa ya ngombe au mbuzi. Pia hakuna kiumbe kingine kinacho kunywa maziwa baada ya utoto, isipokua binadam tumejiweka kunywa maziwa hadi uzeeni. Binafsi I would rather drink human milk than cow or goat milk.
 
Si ile mi protein ya uhakika?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom