MadameX
JF-Expert Member
- Dec 27, 2009
- 7,792
- 3,848
Mahitaji ya kutengeneza Chai Masala
100gram hiliki/cardamoms
50gram mdalasini/ cinnamon
2 tsp pilpili manga/whole black pepper (
1 tsp mnanaa/ dried mint (optional)
1tsp karafuu/whole cloves
2 tsp tangawizi iliyosagwa/ginger powder
1 tsp kungumanga/nutmet.
Visage vyote kwenye pamoja kwenye mashine, ukimaliza ziweke kwenye frying pan weka moto mdogo sana huku unazigeuza geuza for muda wa dakika 5 mpaka ile inaanza kutoa harufu nzuri. Tia kwenye container na ifunge tayari kwa kutumia.
Note: TSP ni table spooon.