Chai Maharage za Zanzibar na Falsafa ya Kubagua Wabara

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
View attachment 18226
Ulishawahi kupanda usafiri wa chai-maharage?



unatumika sana Zenji.

Masharti:
1. lazima kukaa. hilo sawa.

2. lazima kutizamana usoni
hapa ndipo kwenye utata.
munakaa opposite. face to face.
hiyo maana yake kama ni mzanzibari na unaishi huko miaka nenda miaka rudi, na unatumia usafiri huu wa chai-maharage, wenzako (wazanzibari wenzako watakujua).
kama ni mgeni umetoka bara, watakujua kirahisi sana. hata ukienda dukani darajani watakuuzia vitu bei juu. kwa sababu wewe ni mbara.

hapo nasema kifua mbele, wazanzibari wanabagua wabara!!
 
Wazanzibari wao kwa wao wanabaguana, utasikia huyu Mpemba huyu Mu Unguja.
Kama wao kwa wao wanabaguana kwa nini wasiwabague wabara?
 
Back
Top Bottom