CHAI Day 5 Feb 2011 Dar: Kujadili fursa katika Kilimo na ufugaji

mpaka sasa waliothibitisha kushiriki ni wafuatao:


  1. KANYAGIO
  2. MALILA
  3. TITO
  4. MGOMBEZI
  5. ELNINO
  6. KASOPA
  7. KASOPA FRIEND NO. 1
  8. KASOPA FRIEND NO. 2
  9. ZAHOR SALIM
  10. NEW MZALENDO
  11. TGS D
  12. REALTOR
  13. MASAKI
  14. STREET SMART
  15. LEN
  16. BABALAO
  17. THE INVESTOR
  18. MASIKINI JEURI
  19. SABI SANDA
  20. DORISVETY
  21. CARMEL
  22. RAMTHODS
  23. BENNET (wa mitiki blog)
  24. GAMAHA
  25. AMBASSADOR
  26. KIBANANHUKHU
  27. TZ_Investor
  28. NEWMZALENDO FRIEND NO. 1
  29. NEW MZALENDO FRIEND NO.2
  30. .....
  31. ......
  32. .......
  33. .......
  34. ........
  35. .........

nafasi bado zipo, mategemeo yetu ni kuwa na watu takribani 35 kwa hiyo nafasi bado zipo!!!

MAAMUNA HARASHIRIKI ILA KAAHIDI KUTOA 10,000/= (TUNAKUSHUKURU). NIMEPATA NAMBA YA VODA 0759 44 45 46. bahati mbaya mpaka sasa simu card yangu imeshindwa kuwa registered (kila wakati wanasema network down) so hatuwezi tumia MPESA na nilikuwa nimebanwa na kazi..nitajitahidi kufuatilia haraka iwezekanavyo..
 
HTML:
Ebwana huyo kanyagio inabidi amuachi huyo mshikaji kwenye madigadi ili aweze kuwatumikia na nyiyi lakini anashindwa labda anogopa watachakahua hilo shamba lake[/QUOTE]

NTINGINYA samahani, sijaelewa maana ya post yako
 
ni vema ku-confirm mapema.. utahudhuria?

Je unaposema muda haueleweki unamaanisha nini? muda ni kuanzia saa 8 kamili mchana na kuendelea.
wengine ajira zetu zinatulazimu wakatimwingine kufanya kazi hata weekend... ingekuwa vema kama mgekuwa flexible kama mtu akija pake na mchanga kama kawaida na aruhusiwe kuhudhuria.... napenda kuhudhuria!!:coffee:
 
KANYAGIO; kuna mdau nitaambatana nae ambaye bado hajawa JF member, kwa hiyo utamweka as MGOMBEZI FRIEND.
 
wengine ajira zetu zinatulazimu wakatimwingine kufanya kazi hata weekend... ingekuwa vema kama mgekuwa flexible kama mtu akija pake na mchanga kama kawaida na aruhusiwe kuhudhuria.... napenda kuhudhuria!!:coffee:
tutakufikiria mkubwa, tunatamani sana uwepo MKESHAHOI kwa sababu tunataka usiwe tena mkeshahoi bali MKESHA-SHIBA
 
ndugu washiriki watarajiwa wa mkutano wa jumamosi.. naomba kuwafahamisha kwamba mchango kwa ajili ya gharama za mkutano zimeanza kupokelewa. kwa hiyo naomba mtumie MPESA kuweka 15,000 tulizokubaliana.. namba ni 0759 44 45 46. ukitaka kunipigia ku-confirm naomba utaje jina lako kama lilivyo hapo juu niweze kujua.nitakuwa natoa update kila siku kuhusu hali ya michango kwa uwazi!!.

 
Naomba niongeze kati ya idadi yako ya watu watakaohudhuria. najaribu kupiga namba yako ulioyoweka hapa sikupati, nitajaribu tena baadae

MKUTANO WA KUJADILI FURSA KATIKA KILIMO TAREHE 5 FEBRUARI 2011 SAA 8 KAMILI MCHANA LUNCH TIME HOTEL

wakuu wa JF, heshima zenu!! nachukua nafasi hii kuwafahamisha kuwa baada ya kujadili kwa kina masuala ya kilimo na ufugaji kupitia hapa JF (hasa kupitia thread yaTujiunge na kuanzisha JAMII FARM na nyinginezo tumeona ni vema tufanye mkutano maalum kujadili masuala ya uwekezaji katika kilimo na ufugaji. Madhumuni ya mkutano huu ni kubadilishana taarifa na uzoefu katika uwekezaji katika sekta ya kilimo na ufugaji. aidha itakuwa ni kikao muafaka katika kupeana taarifa mbalimbali za fursa katika kilimo na ufugaji. Huu utakuwa ni mwendelezo wa mkutano tuliofanya mwaka jana.

mkutano huu tarehe 5 Februari 2011 jijini Dar es salaam pale LUNCH TIME HOTEL kuanzia saa 8.00 kamili mchana. Gharama ya kushiriki ni 15,000/= kwa kila mtu (ukumbi na refreshments)

mpaka sasa waliothibitisha kushiriki ni wafuatao:



  1. KANYAGIO
  2. MALILA
  3. TITO
  4. MGOMBEZI
  5. ELNINO
  6. KASOPA
  7. KASOPA FRIEND NO. 1
  8. KASOPA FRIEND NO. 2
  9. ZAHOR SALIM
  10. NEW MZALENDO
  11. TGS D
  12. REALTOR
  13. MASAKI
  14. STREET SMART
  15. LEN
  16. BABALAO
  17. THE INVESTOR
  18. MASIKINI JEURI
  19. SABI SANDA
  20. DORISVETY
  21. CARMEL
  22. RAMTHODS
  23. BENNET (wa mitiki blog)
  24. GAMAHA
  25. AMBASSADOR
  26. KIBANANHUKHU
  27. TZ_Investor
  28. NEWMZALENDO FRIEND NO. 1
  29. NEW MZALENDO FRIEND NO.2
  30. MGOMBEZI FRIEND
  31. REALTOR FRIEND
  32. .......
  33. .......
  34. ........
  35. .........


nafasi bado zipo, mategemeo yetu ni kuwa na watu takribani 35 kwa hiyo nafasi bado zipo!!!

MAAMUNA HARASHIRIKI ILA KAAHIDI KUTOA 10,000/= (TUNAKUSHUKURU). naomba kuwafahamisha kwamba mchango kwa ajili ya gharama za mkutano zimeanza kupokelewa. kwa hiyo naomba mtumie MPESA kuweka 15,000 tulizokubaliana.. namba ni 0759 44 45 46. ukitaka kunipigia ku-confirm naomba utaje jina lako kama lilivyo hapo juu niweze kujua.nitakuwa natoa update kila siku kuhusu hali ya michango kwa uwazi!!.


Ratiba imeambatanishwa

ukiwa na swali usisiste kuuliza

"PAMOJA TUNAWEZA"
 
Naomba niongeze kati ya idadi yako ya watu watakaohudhuria. najaribu kupiga namba yako ulioyoweka hapa sikupati, nitajaribu tena baadae

Mwalwisi na wengine waliojaribu kunipigia jana.. ni kuwa line nilikuwa sijaiweka kwenye simu.. ila leo siku nzima itakuwa ON.. keep in touch!!
 
leo ntatuma zangu,angalizo,wageni wangu mmoja anaratiba tight hawezi kuconfirm mapema.hivyo nafasi yake inaweza kuwa wazi
 
naona mambo yanenda vizuri sana ,na siku ndo hizi zinanukia,ndondoo zitakazoongelewa na sie wa mbali tungependa kuzipata
 
Ujue kila mtu akija kama alivyo ktk avatar yake, mkutano hautafanyika,je St. paka mweusi akija na paka wake, preta aje kama avatar ilivyo na cheusi Mangala itakuwaje?
Nyau mweusi..Haingii huyo atatuletea hirizi..hatumtaki
Preta...mh..nahic ntapata makengeza
Cheusi mangala.....mamamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...mada zote hazitapanda..naomba avae buibui...!!:coffee:
 

Wakuu nawaunga mkono kwa dhati kutoka moyoni kwangu na ningependa sana kuwepo siku hiyo. Naunga mkono mawazo yote haya na initiatives zote zitakaozotokea kwa ajili ya kuonyesha uzalendo wetu kwa kuweka serious investments hasa kwa kilimo.

Nimewasiliana na baadhi ya wadau kwa email na pm kuhusu hiki kikao lakini nasikitika sana kwamba sitakuwepo na hii ni kwa sababu sitakuwa Tz tarehe hiyo. Hata hivyo nitashiriki kwa kuombea mafanikio na pia nimetoa slides za powerpoint za project ya cassava starch ili muweze kuona japo kupata picha ya scope na matazamio. Japo ingekuwa vyema sana kama ningekuwepo kuleza na kujibu maswali yatayojitokeza.

Nitakuwa tayari kwa chai nyingine hapo mbeleni mara nitakaporudi nyumbani. Japo sintokuwepo nitashiriki kwa uwezo wangu wote kwa maazimio yote yatakayowekwa na pia ntatoa mchango wangu wa hali na mali kuhakikisha haya mawazo hayapotei na yanafikia mahali tunapotazamia
 
naomba kutoa taarifa kwamba mpaka sasa hakuna aliyetuma mchango isipokuwa Kamuzu na kasopa waliotoa ombi maalum.
naomba mawazo yenu tufanyeje?
 
naomba kutoa taarifa kwamba mpaka sasa hakuna aliyetuma mchango isipokuwa Kamuzu na kasopa waliotoa ombi maalum.
naomba mawazo yenu tufanyeje?

Asante kwa update hii, Mimi nawakilisha wangu muda si mrefu.
 
naomba kutoa taarifa kwamba mpaka sasa hakuna aliyetuma mchango isipokuwa Kamuzu na kasopa waliotoa ombi maalum.
naomba mawazo yenu tufanyeje?
Usife moyo... wa tz wengi huwa wanaonekana tarehe zikikaribia... we kuwa na amani!!
 
Back
Top Bottom