Chaguzi zote zijazo, zikiwemo chaguzi ndogo, zitakosa kabisa wapiga kura

Ndebile.

Una upeo mdogo sana, hivyo vyama vingine vianzishwe lini vije kuiondoa CCM madarakani? unaimba tu kama kasuku; kama Chadema haikubaliki iweje CCM wahangaike kuiua miaka yote hiyo mpaka kusaidiwa na kura feki? hicho chama kipya kitafanya nini kwenye mazingira tuliyonayo ya siasa sasa? au viongozi wake watatoka mbinguni?!

Hujielewi kabisa, umeropoka tu.
 
Mkuu kwa taarifa yako vitaanzishwa vyama vipya vya upinzani wa kweli na sio hizi saccos za akina Mbowe, Lipumba na Maalim Seif, Mtu kama Zitto akiacha aina yake ya siasa ya kuganga njaa ni mpinzani mzuri...
Watu wamechoka viongozi wale wale akina "Besigye"!
Uchaguzi wa kweli utakuja kufanyika siku shetani CCM akiwa nje ya mamlaka. Kwa sasa kila kitu ni kupoteza muda. Hakuna kinachoweza kufanikishwa kwa usahihi chini ya mamlaka ya CCM.

Kama kuna adui mkubwa wa maendeleo nchi hii kwa kila sekta, ni CCM. Watanzania wataonja maana ya maendeleo, siku watakapoweza kuiondoa CCM, na hiyo haiwezi kuwa kwa njia ya kura. CCM inatakiwa kufurushwa na wala siyo kuondolewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchaguzi Serikali za Mitaa tukaambiwa tususie tukatii amri na kusubiri tamko, kimya! Yenyewe kwenye ubunge yakaingia kichwa kichwa bila kurekebisha kasoro zilizokuwepo..."yameibiwa kura" yanatuambia tuingie barabarani huku wengine wakikimbilia ubalozini... Tukisema hawa ni wapinzani kwa ajili ya matumbo yao utabisha....na sinema ndio kwanza inaanza ngoja uone wanavyopigania viti maalumu ndio utajua!
Kasoro gani ambazo zilikuwepo ndani ya uwezo wao walizotakiwa kuzirekebisha kwenye uchaguzi S/M hawakuzirekebisha?

Na kwenye ubunge, ni kasoro gani walizotakiwa kuzirekebisha ambazo zilikuwa ndani ya uwezo wao hawakuzirekebisha?
 
Kwa yaliyotokea katika Uchaguzi huu, wananchi wengi sana wataacha kwenda kupiga kura kuanzia wana-CCM wenyewe,wasio na vyama na zaidi wafuasi wa upinzani...
Umeandika Jambo kubwa Sana,ndivyo itakavyokua,ila pia wabunge wa kipindi hiki wajiandae kukosa ushirikiano wa wananchi katika majimbo yao, ata kufanya ziara kwenye majimbo yao itakua tabu sana.
 
Mkuu kwa taarifa yako vitaanzishwa vyama vipya vya upinzani wa kweli na sio hizi saccos za akina Mbowe, Lipumba na Maalim Seif, Mtu kama Zitto akiacha aina yake ya siasa ya kuganga njaa ni mpinzani mzuri...
Watu wamechoka viongozi wale wale akina "Besigye"!

Hivyo vyama vilingoja nini? Au formula ni mpaka CDM ife? Nilisikia Tiss wana mpango wa kuinua CDM kisha waanzishe chama kingine, hapo ndio watajua hawajui.
 
Mkuu kwa taarifa yako vitaanzishwa vyama vipya vya upinzani wa kweli na sio hizi saccos za akina Mbowe, Lipumba na Maalim Seif, Mtu kama Zitto akiacha aina yake ya siasa ya kuganga njaa ni mpinzani mzuri...
Watu wamechoka viongozi wale wale akina "Besigye"!

Kwa kweli watu wamechoka chama kile kile madarakani, wizi ule ule, wezi wale wale, nk.

Nyani wale wale na pori lile lile!
 
Wana CCM hawawezi kuacha kupiga kura. Kupiga kura kwa mwana CCM ni wajibu wake. CCM itadumu miaka 50 ijayo.
 
Umeandika Jambo kubwa Sana,ndivyo itakavyokua,ila pia wabunge wa kipindi hiki wajiandae kukosa ushirikiano wa wananchi katika majimbo yao, ata kufanya ziara kwenye majimbo yao itakua tabu sana.
Hakika itakuwa ni vigumu sana kupata kushirikiana kutoka kwa wananchi kwani wengi wao hawakuchaguliwa na wananchi.
 
Wewe ndio huta piga kura, ila watanzania wazalendo watakwenda kupiga kura vizuri tu. Watanzania wa leo sio wakuburuzwa na wajasiriamali wa siasa.
 
Kasoro gani ambazo zilikuwepo ndani ya uwezo wao walizotakiwa kuzirekebisha kwenye uchaguzi S/M hawakuzirekebisha?

Na kwenye ubunge, ni kasoro gani walizotakiwa kuzirekebisha ambazo zilikuwa ndani ya uwezo wao hawakuzirekebisha?
Semina elekezi kuwafundisha wagombea na mawakala jinsi ya kujaza fomu na kuepuka makosa yanayoweza kuwafanya kukosa sifa, kuimarisha vyama ngazi ya chini yaani kuwa na wenyeviti wa mitaa "vivuli" ili kuorganize chama ngazi ya mashina, kuwafundisha mawakala kuwa watiifu wa chama na kutokupali kunywa maji, soda nk. watakazopewa na CCM...hahahaha!
 
umeielwa mada vizuri
Mkuu kwa taarifa yako vitaanzishwa vyama vipya vya upinzani wa kweli na sio hizi saccos za akina Mbowe, Lipumba na Maalim Seif, Mtu kama Zitto akiacha aina yake ya siasa ya kuganga njaa ni mpinzani mzuri.

Watu wamechoka viongozi wale wale akina "Besigye"!
 
Uchaguzi wa kweli utakuja kufanyika siku shetani CCM akiwa nje ya mamlaka. Kwa sasa kila kitu ni kupoteza muda. Hakuna kinachoweza kufanikishwa kwa usahihi chini ya mamlaka ya CCM.

Kama kuna adui mkubwa wa maendeleo nchi hii kwa kila sekta, ni CCM. Watanzania wataonja maana ya maendeleo, siku watakapoweza kuiondoa CCM, na hiyo haiwezi kuwa kwa njia ya kura. CCM inatakiwa kufurushwa na wala siyo kuondolewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
kanuni moja ya maisha nakupa bure: "katika kila janga, dhahama,"crisis" nk huwa kuna upenyo mzuri wa kuelekea kwenye mafanikio" nikupe mfano mmoja kampuni kubwa za kibiashara duniani zilianzishwa kwenye hali mbaya ya uchumi...
Here are just a few big-name businesses that you probably never knew were founded during recessions.
  • Netflix. Year founded: 1997. ...
  • Airbnb. Year founded: 2008. ...
  • Trader Joe's. Year founded: 1958. ...
  • Microsoft. Year founded: 1975. ...
  • Sports Illustrated. Year founded: 1954. ...
  • MTV. Year founded: 1981. ...
  • GE (General Electric) ...
Ni kipindi hiki kigumu kwa wapinzani njaa ambapo natabiri watatokea watu watulivyo wenye malengo mahsusi wataanzisha vyama vizuri vya siasa...UTULIVU na sio mihemko ya akina Sugu, Mdee, Lema nk
 
Mkuu kwa taarifa yako vitaanzishwa vyama vipya vya upinzani wa kweli na sio hizi saccos za akina Mbowe, Lipumba na Maalim Seif, Mtu kama Zitto akiacha aina yake ya siasa ya kuganga njaa ni mpinzani mzuri.

Watu wamechoka viongozi wale wale akina "Besigye"!
Issue sio sera/or Vyama vipya, issue ni Kwamba CCM sio chama cha siasa Kama vilivyo Vyama vya siasa (upinzani). Sisiem hata wakisimamisha sanam yenye vazi la CCM na Mpizani, ni lazima sanamu iliyovalishwa jezi ya CCM ishinde.

Kwa Kifupi Wapinzani Hawapambani na CCM, bali Mfumo uliosimikwa na CCM. Kuishinda CCM maana yake ni Kwamba umeishinda DOLA. CCM=DOLA, so wapi na wapi ata kama kikaanzishwa chama cha Nabii Mussa hakiwezi ishinda CCM.
 
Kwa hiyo kumbe shida watu wenu hawakwenda kupiga kura? la kaeni mkijua kuwa watz si wajinga kihivyo.
 
Semina elekezi kuwafundisha wagombea na mawakala jinsi ya kujaza fomu na kuepuka makosa yanayoweza kuwafanya kukosa sifa, kuimarisha vyama ngazi ya chini yaani kuwa na wenyeviti wa mitaa "vivuli" ili kuorganize chama ngazi ya mashina, kuwafundisha mawakala kuwa watiifu wa chama na kutokupali kunywa maji, soda nk. watakazopewa na CCM...hahahaha!
Wakishafanya hivyo ndio CCM wataacha kuingiza kura feki vituoni kwa msaada wa jeshi la polisi?
 
Back
Top Bottom