mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Nimekuwa nafuatilia Kwa makini chaguzi za mwaka 2015 Na 2016.Katika uchaguzi wa mwaka 2015 Vyama vyote vilifanya kampeni Kwa gharama kubwa sana Na Chama cha Mapinduzi kiliongoza Kwa matumizi makubwa.Vivyo hiyo Na Kwa upande wa Zanzibar.Pamoja Na gharama nimebaini kuwa kumbe CCM ingeweza kushinda hata bila kufanya kampeni Kwa jinsi mkakati wa kupiga kuhesa Kutuma Na kutangaza matokeo ulivyofanyika.Kwa upande wa Zanzibar kitendo cha kufuta matokeo Na kurudia uchaguzi Na kutokufanya kampeni Na kumpa ushindi wa kishindo Mh.Shein kutokana Na mkakati uliopangwa no uthibisho kuwa ushindi tena Mkubwa unaweza kupatikana bila kampeni.mwaka 2015 Zanzibar kama bara Mh.Shein alifanya kampeni Na viongozi wengine lakini alipata kura chache tofauti Na alizopata Uchaguzi wa marudio wa bila kampeni .Wadau mnasemaje?