Chaguzi za serikali za mitaa Kura kupigwa kwa kuandika majina ya mgombea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chaguzi za serikali za mitaa Kura kupigwa kwa kuandika majina ya mgombea

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ulimbo, Oct 10, 2009.

 1. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 673
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Leo nimesikia kwanye vyombo vya habari kuwa kweny changuzi za serikali za mitaa, kura zitapigwa kwa kuandika majina ya wagombea, bila kuwepo picha ya mgombea wala chama chake. Je hizi ni mbinu au teknolojia mpya ya kupiga kura au ndo baadhi ya mbinu za ccm kama alivyowahi kusema mzee JMchl?
   
 2. M

  Mugerezi JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2009
  Joined: Mar 28, 2007
  Messages: 454
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Sijasikia hilo tangazo. Inabidi kufanyia kazi hii kitu. Kama ndivyo this is serious.
   
 3. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 201
  Trophy Points: 160
  Hio ni kweli, si mnafahamu kuwa maajabu hapa duniani yamebaki hapa Tanzania tu.
   
 4. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 673
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Nimesoma habari hizi katika gazeti la habari leo, Tar 10.10.2009
   
 5. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,014
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Ama kweli hawajaishiwa mbinu za kutafuta ushindi
   
 6. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 673
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Kama hali ndo ilivyo, walewasiojua kusoma na kuandika itakuwaje? Kipindi cha njuma walikuwa na watu waliowachagua ili kuwasaidia, na kwa vile karatasi zilikuwa na picha,majina ya wagombea na vyama vyao, ilikuwa raisikumtamba mgombea hata kwa sura, lakini sasa hatakama watawatafuta watu wa kuwasaidia, 100% ya maamuzi yatafanywa na watu hao kwani hata kama watamwabia aandike jina la mgomea wa chama fulani, kwasababu hajui kusoma, yule mtu anaweza kuandika jina tofauti. Tatizo lingene litatokea kwenye spelling za majina watu watakosea sana na kufanya kura zisemekane zimearibika.
   
 7. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #7
  Oct 11, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 673
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Sijui watu walijua kuwa utaratibu utakuwa hivyo ndo maana wengi hawakujitokeza kujiandikisha kupiga kura, au ndo wanasusia kwani hata kama watapiga kura, yule aliyepangwa na ccm ndiye atakaye pita hatakama hakuchaguliwa na wananchi.
   
Loading...