Chaguzi za ndani ya CCM: Lowassa awabwaga Kikwete na Sitta

A dangerous generalization this! Hardworking? Maybe. Capable/Likeable? Maybe to his cronies, but to majority of Tanzanians? No way!

Mwizi huwa hatosheki kuiba, ataiba na kuiba na kuiba na kuiba! Nyie mnaompigia debe fikirieni mara mbili kabla hamjaingia kichwa kichwa!

The good news is this: ccm si chama kimoja tena, sioni, narudia SIONI jinsi wajeruhiwa watakavyokaa kimya na kuwaruhusu waliowajeruhi wakineemeka.

It is KANU/Uhuru Kenyatta scenario over and over again, only KANU was relatively stronger then than what ccm currently is. The bad news for ccm is that THERE IS NO ONE WHO HAS MORAL AUTHORITY to tell anyone anything which remotely resembles constructive criticism.
 
Nimeipenda hiyo mno. unajua huwezi kuongea kitu bila kufanya marejeo. Ila hofu yangu mnaweza kumjadili shetani kwa muda mrefu bila kupambana na uovu wake wote, na tabia zake zote, na hila zake zote. Pia hofu yangu pia wanapo waumini wanampenda shetani pia, na hufanya mambo yao kwa kificho. Changamoto ni kumsema shetani wakati huo huo kama wengi walivyosema kuwa na mbinu mpya na sahihi za kummaliza. La sivyo, ataendelea kutawala milele

Rare nadhani tuko pamoja.
Mosi tunakubaliana kuwa Chadema hatuwezi kujadili cho chote kuhusu nchi hii bila kutaja ccm. Na kwa sasa huwezi kuijadii siasa za nchi au za ccm bila kuwajadili wanamitandao ya ccm na hila zao zote na uovu wao wote.
Changamoto ni mstari kati ya mjadala kuhusu magamba ya ccm na sera mbadala ya chadema unachorwa wapi. Na ipi kati ya hizo inaleta kura zaidi. Kuonesha uovu na rushwa ndani ya ccm ni sehemu ya kampeni ya stahiki kuelekea 2015 kwa maoni yangu.
 
A dangerous generalization this! Hardworking? Maybe. Capable/Likeable? Maybe to his cronies, but to majority of Tanzanians? No way!

Mwizi huwa hatosheki kuiba, ataiba na kuiba na kuiba na kuiba! Nyie mnaompigia debe fikirieni mara mbili kabla hamjaingia kichwa kichwa!

The good news is this: ccm si chama kimoja tena, sioni, narudia SIONI jinsi wajeruhiwa watakavyokaa kimya na kuwaruhusu waliowajeruhi wakineemeka.

It is KANU/Uhuru Kenyatta scenario over and over again, only KANU was relatively stronger then than what ccm currently is. The bad news for ccm is that THERE IS NO ONE WHO HAS MORAL AUTHORITY to tell anyone anything which remotely resembles constructive criticism.
mkuu uko sahihi,
And the worse news for ccm is that, kila kundi linasema kama siyo kundi letu heri Chadema kuliko kundi la mahasimu wao ndani ya ccm. Sioni future ya ccm hata kama mtu yuko ccm hili liko wazi kabisa.
 
kiukwel lowassa amewazd wote wa ccm licha ya kwamba hakuna alie msafi, hata chadema lowassa amewazd kna mbowe, zitto..dr. SLAA ndo pekee anae weza mdhbt lowassa
 
Ooohh..!! I am SICK of ur QUOTATION....

Is JK somebody u quoted..!???

U failed to ANALYSE....& you referenced him as a back-up... meaning U TRUST JK....
Huyu ni msanii wa ukweli.... ww umelala nini..!??
Ur lost.... i am wordless, speechless....


HUJUI HATA JK KAWEKWA MADARAKANI NA LOWASSA
Uliza ujue ukweli.... Na HAKUNA MTU JK ANAMGWAYA LIKE E.L.. hata kumtamka tu hawezi....
Dr.Slaa hata Mbowe hawezi kumongelea...

Ur too young to Tz dirty politics

JK is President bcoz of EL .... Ulizaa....
 
mkuu uko sahihi,
And the worse news for ccm is that, kila kundi linasema kama siyo kundi letu heri Chadema kuliko kundi la mahasimu wao ndani ya ccm. Sioni future ya ccm hata kama mtu yuko ccm hili liko wazi kabisa.

Kundi lipi..??

EL kashapita straight-in & forward....

Uko Arusha my home town too.... Ebu MUULIZE AKO
SUMAYE ALIKUWA ANALIA LIA WIKI 2 MFULULIZO NI NINI..?? HATA SEMA UKWELI...

Ukweli ni kuwa EL KAMFINYA KIDOGO TU HALAFU HAONGEI KATULIA KIMYA... SUMAYE KALIA WIKI 2
MFULULIZO BILA KUSEMA KAPIGWA MTAMA NA NANI... ANAZUNGUKA NA WANAHABARI.... OOOHH... mm sijasema LOWASSA ILA NYIE NDIO MNATUCHONGANISHA.....

Juzi umeona mwenyewe Mama Anna Kilango akilia MACHOZI MBELE YA UMATI.... EL kaweka mkono kidogo tu kumsupoort Sophia Simba... Sasa Sumaye na Sitta ni wanaume MACHOZI YAO NI JASHO NA KUPIGA MAKELELE.... Muulize Mama Kilango MACHOZI KAMA KAFIWA VILE
E. L is not an AVERAGE FIGHTER... haaaa

EL KAMCHAPA KIDOGO TU.... Sitta alikimbia Dodoma karibia asahau mlango wa Bunge.... Uspika hata kupewa chance hamna....

JK is President kwa sbb ya EL nafikiri hili UNAJUA VIZURI... Bila EL , JK urais angeusikia kwa watu tu..

So EL ni Gwiji..... TACTICIAN....

EL.... si mchezo na UONGOZI ANAWEZA....
 
akilimtindi

Yote uliyoyaleleza yanajibiwa na signature yako mwenyewe Roho ikitaka kutoka lazima utapetape sana, Sio kazi rahisi Kufa. CCM Haifiki 2015.

Mwaka 2015 hakuna cha kubebwa na tume huru ya uchaguzi au wazungu wa Ulaya. Wananchi ndo watakoibeba chadema kwa nguvu ya umma, mark my words. Mbona ubungo mimi nikiwa mkiti ili wezekana? Mbona Arusha na mwanza ililwezekana na maeneo mengine. Tume huru au mfungwa, itawezekana.
 
Last edited by a moderator:
Lakini si itashangaza zaidi kama CDM au chama kingine cha upinzani "kinakerwa" na dalili za CCM kupata mgobea wa urais dhaifu/asiyefaa (EL) mwaka 2015?
 
Haaaahaasaa. EL no one to compare Ndani ya CCM ukimgusa utamalizwa hata Mwenyekiti anajua anakubalika Kitaifa Dr. Slaa ajichunge sana na najua hawezi kum Attack EL kwenye press.

EL atakuwa Rais. MARK MY WORDS. EL is a TACTICIAN muulize JK.
 
Hakuna wakati mrahisi kama sasa kwa chadema kupiga kampeni na nitamshangaa sana huyo mbongo atakaye wapa kura ccm,unatakiwa ujiulize kwanini wanatumia pesa nyingi kiasi hicho kusaka uongozi na dhamira yao ni nini haswa na hiyo pesa watairudishaje
 
Bwana Aweda, kule Arumeru Mashariki ambako tungeweza kusema ni nyumbani kwake kabisa Lowassa, alitumia mbinu hizo zote lakini walishindwa vibaya!

Naomba jibu ulipate kunzia hapo!

Halafu ndipo uongeze sasa habari ya katiba mpya, makundi makubwa ndani ya chama chao, habari ya Richmond n.k!

WAO WANACHEKA TUU KWA NJE ILA NDANI YA MIOYO YAO WANAJUA NI VIGUMU SANA LOWASSA KUISHINDA CHADEMA 2015 kwa kuzingatia dondoo hizo na nyinginezo ambazo sijazitaja.
 
Ni kweli kuwa Lowassa na nguvu tena kubwa sana, hivyo si mtu wa kum-underrate.... yuko katika kuhakikisha kuwa anaishika chadema katika nyanja zote na ninadiriki kusema kuwa ni threat kubwa kwa chadema kutokana na misimamo yake 9Achilia mbali kashfa zinazomkabili).. lakini pia nguvu zake zitategemea upepo wa kisiasa mara ifikapo 2015 (ikumbukwe kuwa miaka mitatu iliyobaki ni mingi kisiasa na inaweza kubadili upepo).
 
Ikulu ni ya EDO tu hata msemeje mwaka 2015! Huyu mjomba ni jembe, ni kiongozi na ni mchapakazi si mchezo, Watanzania tumezoea wanaotulia mali zetu tunalalama kila kukicha hatua hazichukuliwi na bado BUSINESS AS USUAL, hakuna anae sema zaid, matatizo yanatokea mkubwa yuko beach New York aliye kaimu anatwambua tumsubiri alieenda Beach ndo kamteua, hivi kwa Edo havipo, kazi kwa kwenda mbele...(WAULIZE BANDARI TANGA) Edoapigiwi makofi au kupiga magofi ovyo kuingia kwenye mikutano anavyopenda swaiba! Edo anajali vijana na kila kukicha ni ajira kwa vijana! Edo ndo anaweza kututoa hapa tuliopo kwa sasa NOBODY ELSE!
 
Pompo and Mr. President,
Mimi nakubaliana na nyinyi wote kuwa Lowasa akiteuliwa na CCM ni sawa kuiweka rasmi Chadema ikulu 2015 kama tutamchagua mgombea mzuri.

Lazima kutakuwa kura ya uasi hata ndani ya ccm, watake wasitake. kuna wanaodhani kwamba Lowasa akianza kujieleza atasafisha hali ya hewa. Siamini hivyo.

kwa hiyo wewe unaona lowassa vs kabwe... kabwe atampiga chini lowassa?
 
Mgombea mzuri ndani ya cdm zitto kabwe tu na hakuna mwingine, bila yeye cdm isahau kuingia ikulu hata km mgombea wa ccm wakiweka jiwe, huo ndio ukweli na hakuna ubishi, hatutegemei kuona wagombea wazee wakitoka cdm

Akiliyako ni ndogo kama chembe ya haradali au kwa kiswahili rahisi kama punje ya mtama, watu kama nyie ndio mlikuwa mnabadirishiwa almasi kwa mawe au nguo za mtumba na wakoroni, Zitto kabwe hana sifa ya kuwa RAISI wa watanzania wenye kiu ya maendereo. mfuatilie kwa undani utamjua, kaisha onja asali ya mafisadi kwa hiyo wanao mfagiria ni mafisad kwasababu wanajua hana mazara kwao tena. have a look at Buzwagi gold mine and others you will see the fact!
 
Bwana Aweda, kule Arumeru Mashariki ambako tungeweza kusema ni nyumbani kwake kabisa Lowassa, alitumia mbinu hizo zote lakini walishindwa vibaya!

Naomba jibu ulipate kunzia hapo!

Halafu ndipo uongeze sasa habari ya katiba mpya, makundi makubwa ndani ya chama chao, habari ya Richmond n.k!

WAO WANACHEKA TUU KWA NJE ILA NDANI YA MIOYO YAO WANAJUA NI VIGUMU SANA LOWASSA KUISHINDA CHADEMA 2015 kwa kuzingatia dondoo hizo na nyinginezo ambazo sijazitaja.

mimi ninafikiri tufike mahali tuangalie mjadala huu katika scenario pana zaidi. ukiangalia katika upana wa taifa wapo wengi ambao wanamuunga mkono lowasa na hii inatokana na uelewa wako katika jinsi siasa ilivyo... kama tutaamua kuangalia uhalisia ni kweli kuwa lowasa hafai kuwa raisi lakini pia tunapata maswali yafuatayo
Je ni asilimia ngapi ya watanzania wanaoweza kupima uwezo wa lowasa kwa kuangalia mema na mabaya aliyofanya?
je ni chadema wataweza kuwafikia watanzania wote katika miaka mitatu iliyobaki na kueleza uozo wa lowasa na wanaccm wenzake? (ikumbukwe kuwa asilimia iliyona uelewa mkubwa wa mambo si zaidi ua asilimia 20 na wengi wako mjini)
Je kama katiba ikishindwa kubadili mfumo je kutakuwa na haki katika uchaguzi? maana chadema wanaweza kushinda kwa kura lakini mfumo ukawafanya waonekane kushindwa
mimi simuungi mkono kikwete katika hili ila bado fact ni kuwa ana nguvu na threat
 
Lakini si itashangaza zaidi kama CDM au chama kingine cha upinzani "kinakerwa" na dalili za CCM kupata mgobea wa urais dhaifu/asiyefaa (EL) mwaka 2015?

smu,
Hatukerwi Lowasa anapopata nguvu ndani ya ccm, wakati anatuhuma za kumwaga za Rushwa. kwetu ni mtaji. Siku akitangazwa kuwa mgombea wa ccm, mimi nitaanza kushangilia kwamba Chadema imeshinda hata kama kura haijapigwa.
Lowasa akishinda urais dhidi ya mgombea wa Chadema, nitalazimika kurudi kusoma vitabu maana nitahitaji kujifunza siasa upya.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Back
Top Bottom