Chaguzi za Kanda CHADEMA na jinsi zilivyo muhimu kitaifa

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,797
71,215
Sikupata kujua kama Chadema ni maarufu na muhimu kiasi hiki kuanzia ngazi ya chini hadi pale Chaguzi za viongozi wa kanda zilipoanza.

Ni ajabu kuwa chaguzi hizo zimefuatiliwa kwa ukaribu sana na nchi nzima, hasa ccm imeonyesha kuwa inaangalia kwa ukaribu sana kuliko hata Chadema wenyewe.

Nina hakika kwa sasa viongozi wakuu wa CCM wakiongozwa na mwenyekiti wao Rais Magufuli wanajua kila kanda mwenyekiti na makamu ni nani na hata idadi ya kura walizopata. Pia watu wao walio wachomeka wameangukaje.

Hii ni ishara kuwa Chadema ni chama kikubwa na tishio kwa watawala na wanauwezo wa kuwatoa madarakani CCM kama uchaguzi wa haki na huru.
 
CCM wakiongozwa na mwenyekiti wao Rais Magufuli wanajua kila kanda mwenyekiti na makamu ni nani na hata idadi ya kura walizopata. Pia watu wao walio wachomeka wameangukaje.
Hii ni ishara kuwa Chadema ni chama kikubwa na tishio kwa watawala na wanauwezo wa kuwatoa madarakani CCM kama uchaguzi wa haki na huru. Chakaza,
 
CCM wakiongozwa na mwenyekiti wao Rais Magufuli wanajua kila kanda mwenyekiti na makamu ni nani na hata idadi ya kura walizopata. Pia watu wao walio wachomeka wameangukaje.
Hii ni ishara kuwa Chadema ni chama kikubwa na tishio kwa watawala na wanauwezo wa kuwatoa madarakani CCM kama uchaguzi wa haki na huru.
Usilolijua Ni Kama usiku wa gixa
 
Ukichukua picha ya Katibu Mkuu wa CHADEMA ambaye ndiye mtendaji mkuu wa chama na uanze kuitembeza mitaani na kuwauliza wananchi kama wanamfahamu, nina uhakika wengi hawamfahamu achilia mbali picha za viongozi wa Kanda za CHADEMA!

Kama Katibu Mkuu wa CHADEMA hajulikani halafu unajifurahisha hapa eti viongozi wa kanda za CHADEMA wanajulikana!

Unajaribu kujipa ukubwa kwa fikra zako ambao hauna MANTIKI NA UKWELI!

Tanzania kuna vituko!
 
MsemajiUkweli,
Unadhani ni nani au kiongozi yupi na Chama gani unaweza kuitembeza mtaani na wananchi wengi wakasema wanamfahamu ?

Uichukua picha ya Magufuli na Mbowe bila kuweka picha zinazoonesha wamevaa nguo za chama..wananchi wengi wanamjua Mbowe zaidi ya Magufuli
 
Ukichukua picha ya Katibu Mkuu wa CHADEMA ambaye ndiye mtendaji mkuu wa chama na uanze kuitembeza mitaani na kuwauliza wananchi kama wanamfahamu, nina uhakika wengi hawamfahamu achilia mbali picha za viongozi wa Kanda za CHADEMA!

Kama Katibu Mkuu wa CHADEMA hajulikani halafu unajifurahisha hapa eti viongozi wa kanda za CHADEMA wanajulikana!

Unajaribu kujipa ukubwa kwa fikra zako ambao hauna MANTIKI NA UKWELI!

Tanzania kuna vituko!
Timu kubwa kama Man U, Man city, Barcelona nk, watu hawana habari sana na kocha mkuu zaidi ya wapambanaji uwanjani.
Dr Mashiji Katibu mkuu ni sawa na kocha, yeye yupo ofisini akipanga mashambulizi uwanjani.
Mfano wako ni butu. Jee umeona ufatiliaji wa chama chako kuhusu hizi chaguzi? Mnazitolea mpaka kauli wakati haziwahusu!
 
Ukichukua picha ya Katibu Mkuu wa CHADEMA ambaye ndiye mtendaji mkuu wa chama na uanze kuitembeza mitaani na kuwauliza wananchi kama wanamfahamu, nina uhakika wengi hawamfahamu achilia mbali picha za viongozi wa Kanda za CHADEMA!

Kama Katibu Mkuu wa CHADEMA hajulikani halafu unajifurahisha hapa eti viongozi wa kanda za CHADEMA wanajulikana!

Unajaribu kujipa ukubwa kwa fikra zako ambao hauna MANTIKI NA UKWELI!

Tanzania kuna vituko!
Umeandika tu ili ulipwe , lakini umejaa wivu mithili ya nyumba kubwa na huna hoja
 
Ukichukua picha ya Katibu Mkuu wa CHADEMA ambaye ndiye mtendaji mkuu wa chama na uanze kuitembeza mitaani na kuwauliza wananchi kama wanamfahamu, nina uhakika wengi hawamfahamu achilia mbali picha za viongozi wa Kanda za CHADEMA!

Kama Katibu Mkuu wa CHADEMA hajulikani halafu unajifurahisha hapa eti viongozi wa kanda za CHADEMA wanajulikana!

Unajaribu kujipa ukubwa kwa fikra zako ambao hauna MANTIKI NA UKWELI!

Tanzania kuna vituko!
Chadema wanaojulikana ni Mbowe na Lema tu!

Tundu Antipas Lisu ameshasahaulika.
 
Chakaza,
Labda kwenye mitandao ya kijamii. Mitaani wako busy kuchapakazi tu. Ila wewe kula kulala Chakaza ndiyo uko busy na Chadema kwa kuwa unapata mgao wa Ruzuku za Chadema
Ha haha! Ruzuku na mie wapi na wapi? Ruzuku ni kwa ajili ya kujenga chama. Na matokeo ya kujenga uelewa wa chama yanaonekana kwa chama kuwa na watu wajuzi na wenye maarifa.
Sio huko kwenu mnajinadi kwa wizi kama alivyo sema Mkapa katika kitabu chake.
 
Chadema wanaojulikana ni Mbowe na Lema tu!

Tundu Antipas Lisu ameshasahaulika.
Wangekuwa wanajulikana hao tuu mngetuma ma RC wa mikakati (iliyoshindwa) kwenda kuwadhibiti wabunge wa maeneo fulani eg Mbeya na Iringa
 
Mchungaji Msigwa anadhibitiwa na mh Kabati na yule Sugu yuko chini ya mikono salama ya Daktari Tulia!
 
Back
Top Bottom